Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Bado mzee sahivi Azeez vs PittersWakuu Azam wakianza broadcast za pambano please tustuane maana inabidi nihamie bar nikacheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mzee sahivi Azeez vs PittersWakuu Azam wakianza broadcast za pambano please tustuane maana inabidi nihamie bar nikacheki
Nasikia mchizi (smith) ana vichwa viwili ulingoni, nikweli au wanatishia kujamba tu.Kila la heri ila inatakiwa awe makini yule bondia ni mzoefu halafu ni sugu katika hayo mapambano aliyopigwa lipo na lile alilopigana na Canelo sasa fikiria mtu mpaka kapambana na Canelo c mchezo
Atakua kachanjia muko (uchawi huu watu wa tanga wanaupenda sana)Kocha ya uzalendo, lakini mimi ni shabiki lia lia wa mwakinyo.
Sema ana ile style ya kutenga mpinzani napiga tumbo weeee yeye ametenga tu, siikubali aisee
Mechi ni saa 6:00 usiku. Huku kwetu umeme umekatika sijui shida nini, so nashindwa kuweka updates
Hapana mzee ngumi siku hizi pesa ni makubaliano before hata hujapanda ulingoni kulingana na ukubwa (status) ya bondia mwenyewe haijalishi atapigwa au kushindaNisaidieni kunijuza vitu viwili.
Nahitaji kujua kiasi cha pesa (kwa Dollar) atacho zawadiwa mshindi?
Na hivi ni kweli Smith keshawahi uwa watu wawili ulingoni?
Maana simulizi ninazo pata mtaani nashindwa kuamini.
Yote kwa yote namtakia ushindi Mtanzania mwenzangu kiroho safi.
Hio ya smith kuua watu wawili ulingoni, haipishani Sana na story za Mohamed Ali kupigana mkono mmoja ukiwa umefungwa pingu. Na alikua akipiga ngumi mpk nondo inapinda.Nisaidieni kunijuza vitu viwili.
Nahitaji kujua kiasi cha pesa (kwa Dollar) atacho zawadiwa mshindi?
Na hivi ni kweli Smith keshawahi uwa watu wawili ulingoni?
Maana simulizi ninazo pata mtaani nashindwa kuamini.
Yote kwa yote namtakia ushindi Mtanzania mwenzangu kiroho safi.
hata muko unaijua...wewe hatari mkuu!Atakua kachanjia muko (uchawi huu watu wa tanga wanaupenda sana)
Ukichanjia muko hata upigwe ngumi za tumbo kiasi gani haziingii, tumbo linakua kama ubao.
Duh, kumbe hata ile ya Mohammed Ali ilikua chai?Hio ya smith kuua watu wawili ulingoni, haipishani Sana na story za Mohamed Ali kupigana mkono mmoja ukiwa umefungwa pingu. Na alikua akipiga ngumi mpk nondo inapinda.
Tumetoka mbali aisee.
Nimeona mahali ni mil 230 tshMwakinyo anakunja kiasi gani kwenye hili pambano?
Ndilo swali la msingi ninalo hitaji kujua, maana huku mtaani tunaongopeana kua mshindi atalamba Dollar Million 120 huku atakae pigwa atalamba Dollar Milion 80.Mwakinyo anakunja kiasi gani kwenye hili pambano?
Hahaha ilikua chai tupu mkuu.Duh, kumbe hata ile ya Mohammed Ali ilikua chai?
Kweli tume toka mbali.
Nimejaribu kuangalia baadhi ya fights zake huyu jamaa nae ni hatari...halafu sugu. Unapiga anakuja tuuHuyu Liam aliwahi kuchezo na Canelo mwaka 2016.. ila alicheze KO hatari sana
Dolla Million 120 unajua Ni sawa na karibu Tsh. Bill 280 mkuu?Ndilo swali la msingi ninalo hitaji kujua, maana huku mtaani tunaongopeana kua mshindi atalamba Dollar Million 120 huku atakae pigwa atalamba Dollar Milion 80.
Tena wananadai akishinda pambano hili, anampita utajiri Akon.
Ndilo swali la msingi ninalo hitaji kujua, maana huku mtaani tunaongopeana kua mshindi atalamba Dollar Million 120 huku atakae pigwa atalamba Dollar Milion 80.
Tena wananadai akishinda pambano hili, anampita utajiri Akon.