Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Leo Tanza-nia imekula vichapo mara Mbili, Simba na Taifa Stars, sijajua sasa Mwakinyo anatusaidiaje hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona mahali ni mil 230 tsh
Hata Mayweather hajawahi kulipa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Dolla Million 120 unajua Ni sawa na karibu Tsh. Bill 280 mkuu?
Dolla milioni 120 labda ya Zimbabwe.Ndilo swali la msingi ninalo hitaji kujua, maana huku mtaani tunaongopeana kua mshindi atalamba Dollar Million 120 huku atakae pigwa atalamba Dollar Milion 80.
Tena wananadai akishinda pambano hili, anampita utajiri Akon.
😄😄😄 Mayweather na wale wazee wa Madison square garden watakua wametoa macho kwa pesa hizo mkuu.Hata Mayweather hajawahi kulipa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unamaanisha mayweather hajawahi kulipwa Dola laki 2 (Tsh.230Mil) hivi mkuu unafuatilia kweli ngumi au umesema tuHata Mayweather hajawahi kulipa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unamaanisha mayweather hajawahi kulipwa Dola laki 2 (Tsh.230Mil) hivi mkuu unafuatilia kweli ngumi au umesema tu
Hiyo ni hela ambayo Mayweather hawezi kupanda ulingoni kabisaa
Kuna boys huko juu kasema mwakinyo anakunya USD million 80 ndo walichopinga hichoYaani unamaanisha mayweather hajawahi kulipwa Dola laki 2 (Tsh.230Mil) hivi mkuu unafuatilia kweli ngumi au umesema tu
Hiyo ni hela ambayo Mayweather hawezi kupanda ulingoni kabisaa
Naona Mwakinyo anapigana asubuhi
Aah ok kama ni hivyo jamaa alipuyanga nikajua anazungumzia TZSSio dola laki 2 alimaanisha Dola milioni 120
Babu, hata mimi napinga hapa, ila nimezidiwa nguvu nimeamua yaishe tu.Dolla Million 120 unajua Ni sawa na karibu Tsh. Bill 280 mkuu?
Hahah saa Nyingine ni Bora kukubali tu,wasije kusema jamaa anajifanya mjuaji.Babu, hata mimi napinga hapa, ila nimezidiwa nguvu nimeamua yaishe tu.
Babu, huku maporini tunaongopeana mpaka inafikia atua inabidi uamini tu.Hahahaa, huo ni uongo. Unaijua dola milioni 120 ama 80 wewe
Umepigilia msumari mkuu.Hata Mayweather hajawahi kulipa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Smith ni mbishi sana.Nina hisia Mwakinyo anachezea