Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Sio Dollar laki 2 mkuu.Yaani unamaanisha mayweather hajawahi kulipwa Dola laki 2 (Tsh.230Mil) hivi mkuu unafuatilia kweli ngumi au umesema tu
Hiyo ni hela ambayo Mayweather hawezi kupanda ulingoni kabisaa
Dollar laki 2 mbili mbona ya kawaida tu.
Kuna mwanangu keshawahi lamba Dollar laki mbili na sabini, mwaka 2014, lakini leo hii tuna kula pamoja dona dagaa, na kugongeana ganja kila leo.