Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Ngumi nyingi za Mwakinyo zinapita juu ya kichwa cha Smith na hazina nguvu
Na za mzungu nazo zinapita wapi?

Huyo mzungu ni mfupi sana kiasi kwamba Mwakinyo awe ana paza?
 
Bila shaka mwakinyo kashinda maana hizi zimezidi
 
Naskia shangwe mtaani kunani huko ulingon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…