goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnaotaaHili pambano Mwakinyo ashinde tu
Kuna watu wamestake pesa ya urithi Mwakinyo ashinde
Aisee anaanguka bila kupigwa?Mbona sielewi hapa.
Namuona Mwakinyo anaanguka anguka hapa tatizo nini?
Viatu ama kuna jambo lao wazungu?
Mwakinyo ana ngumi nyepesi sana na hamudu kasi na nguvu ya huyu MzunguNgumi nyingi za Mwakinyo zinapita juu ya kichwa cha Smith na hazina nguvu
Aisee this is really bad newsMwakinyo amepigwa kwa TKO
TKO ndio inakuwaje dah kmmmk walaiMwakinyo amepigwa kwa TKO
Aisee anaanguka bila kupigwa?
Kuna namna hawa wazungu wamefanya sio bure
Ulitegemea ashinde?Aisee this is really bad news
Wamempulizia mwakinyo, hawezi kupigika kizembe hivyoIts Over
Winner Smith
Hili pambano Mwakinyo ashinde tu
Kuna watu wamestake pesa ya urithi Mwakinyo ashinde
Kazi ipoSi wanasema kashindwa kwa KO
Ndio, hata mwanzo inaonekana alianza vizuri na dalili za ushindi zilionekana ingawa sijafatilia kwa TVUlitegemea ashinde?
Wamempulizia mwakinyo, hawezi kupigika kizembe hivyo