Hassan Mwakinyo kwa kutua kwako bungeni umejitafutia laana ya bure kabisa

Bunge siyo chombo cha kikashifu hata kama yanayoendelea bungeni,siyo hayaridhishi.
Hili la siku hizi siyo Bunge,halina hadhi ya bunge,labda kongamano la walevi wa ccm,Mbunge/waziri anasema watu kupigwa na kufia kwenye vituo vya polisi ni sawa kwa vile kuna wanaofia viwandani wakifanya mapenzi!! Hilo ni bunge au takatak
 
Mmmmh kwahiyo bondia kakosea kukubali wito
 
Chuki zenu za kisiasa haziwezi kuharibu Maisha yake ya Ngumi. Pambaneni na halizenu msijaribu kuwatisha vijana wanao liletea taifa sifa.
 
Kwa utashi wake asingeweza kwenda ila kwa ajili ya future yake amekubali kutii mamlaka kwa kwenda... Angekaidi vikwazo mbeleni na mizengwe vingeongezeka.... Waswahili wanasema tumikia kafir upate mradi wako
 
Kwan kajipendekeza mwenyew kwenda kule au kaitwa?...... Ukiitwa na spika wa bunge uende bungeni, sio ombi tena hill bali ni amri.....sasa nguvu za kukataa angetoa wapi? Na angesema kwa sababu IPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…