Kwa haraka haraka. Kuna uwezekano huyu mwanamke alikuwa ana mahusiano na hawa vijana na alikuwa akiwatumia kwasababu zake binafsi kitendo kilichosababisha wamuundie tukio la kumuingilia kinguvu ili kumkomoa. Hii ni theory tu lakini.
Wanaume huwa wanafanya mrejesho wao wa hasira physically zaidi na si emotional. Mwanaume akimchukia mwanamke au akitaka kuwa mkorofi huwa anafanya kwa matendo yanayoumiza mwili mfano kupiga, kushambulia kwa silaha au kuua kabisa.
Ila mwanamke huwa uchokozi, ushambuliaji wake hufanya kwa njia ya hisia. Yaani anafanya matendo yanayoshambulia hisia mfano kucheat, kulaghai, kupumbaza, na vinginevyo.
So ni wakati jamii sasa kuanza kuwafundisha watoto wa kike na wa kiume mipaka ili kupunguza matukio kama haya.
Watoto wa kike ukiwa una date na wanaume wawili au zaidi tegemea wakijua ni umewashambulia kisaikolojia na kukurudi itategemea na watakavyojiskia kukufanya. Mwanaume kakuita mtoko usiende na kundi la mashosti kimkomoa hapo unatangaza vita, maana unamwambia kuwa yeye ni mjinga kukujali na kukupa nafasi na ndio maana huwa wanakuja kuwabadilikia baadae analala hadi na marafiki zako hao hao.
Au unatoka na wanaume wawili wakija kujua automatically umewaona wao ni wajinga na ukiwakuta ambao ni fyatu kama huyu askari na mwenzake matokeo ni hivi wanakufanyia matukio ya kudhalilisha mwili na kufedhehesha akili yako.
So watoto wakike be very very very careful, hawa madogo wa siku hizi wa kiume si kama sisi kaka zao ambao tulikuwa magentlemen..... Sisi tulikuwa wazee wa kupotezea mwanamke kazingua tunapiga chini tunawinda mpya. Ila hawa madogo wa sasa wamekua wakihubiriwa haki sawa tokea chekechea hawaonagi kwa reasoning wao wanajibu mashambulizi ya mwili.
Kuna tukio moja niliingilia pale Moshi, dogo kamkuta girlfriend wake na kashkaji kengine. Kashkash ni akamtoa nje kumfokea nilistukia ghafla binti amerushwa mtama akatulia bega aisee.... Nikasema watoto wa kiume wa kizazi ni mtihani.