Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI

ACP Debora Magiligimba RPC Ilala

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said,(26),Askari Magereza,Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29 (jina linaifadhiwa).

Mnamo tarehe 01/09/2021 majira ya saa tano nusu usiku katika barabara ya madafu Ukonga mtuhumiwa huyo ambaye ni askari wa Jeshi la Magereza mwenye namba B 9780 WDR Said Hassan akiwa na mwenzake ambaye bado hajakamatwa walimkamata kwa nguvu msichana huyo na kumuingiza kwenye gari dogo kisha kuondoka naye hadi kwenye nyumba moja iliyopo karibu na kambi ya KMKM Ukonga Magereza na kuanza kumbaka na kumlawiti kwa zamu.

Baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti watuhumiwa hao waliendelea kumfanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia na kumsababishia majeraha makubwa na maumivu makali katika sehehmu zake za siri.

Aidha, baada ya mtuhumiwa kugundua kuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tukio baya alilolifanya na mwenzake, mnamo tarehe 02/09/2021 alijaribu kujiua kwa kujinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi kwa mkuu wake wa kazi na askari wenzake kuwa “mnisamehe bure kwa uamuzi wangu niliochukua kwa tukio nililolifanya nitaonekana nimekufa kizembe” lakini kabla hajafanikisha azma yake ya kujitoa uhai alikamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linaendelea na msako mkali kwa mtuhumiwa mwenzake aliyekimbia baada ya tukio hilo baya na linamtaka ajisalimishe haraka iwezekanavyo katika kituo chochote cha Polisi.

Imetolewa na:-
DEBORA D. MAGILIGIMBA-ACP
KAMANDA WA POLISI,
MKOA WA ILALA DAR ES SALAAM.
03/09/2021

View attachment 1922645
Aisee
 
Hawa mabazazi unaminya pumbu ukiisha mhasi unamuachia kuliko gharama za kumlisha jela
 
Kumbe ni tuhuma tuu basi kuna 50% ya huyo km kushinda kesi ova.
 
Siro anajisikiaje kuwa kama mlezi wa Askari kama Hawa?
Anajisikiaje jeshi la Police kuwa na watumishi wa aina
Juzi Handeni wameshika wanawake leo dar wamebaka na kufanya binti wa watu kinyume!
Hawa Askari na Hamza nani ni Gaidi zaidi?
Hawa ni magereza siyo wa Siro
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI

ACP Debora Magiligimba RPC Ilala

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29 (jina linahifadhiwa).

Mnamo tarehe 01/09/2021 majira ya saa tano nusu usiku katika barabara ya madafu Ukonga mtuhumiwa huyo ambaye ni askari wa Jeshi la Magereza mwenye namba B 9780 WDR Said Hassan akiwa na mwenzake ambaye bado hajakamatwa walimkamata kwa nguvu msichana huyo na kumuingiza kwenye gari dogo kisha kuondoka naye hadi kwenye nyumba moja iliyopo karibu na kambi ya KMKM Ukonga Magereza na kuanza kumbaka na kumlawiti kwa zamu.

Baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti watuhumiwa hao waliendelea kumfanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia na kumsababishia majeraha makubwa na maumivu makali katika sehehmu zake za siri.

Aidha, baada ya mtuhumiwa kugundua kuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tukio baya alilolifanya na mwenzake, mnamo tarehe 02/09/2021 alijaribu kujiua kwa kujinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi kwa mkuu wake wa kazi na askari wenzake kuwa “mnisamehe bure kwa uamuzi wangu niliochukua kwa tukio nililolifanya nitaonekana nimekufa kizembe” lakini kabla hajafanikisha azma yake ya kujitoa uhai alikamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linaendelea na msako mkali kwa mtuhumiwa mwenzake aliyekimbia baada ya tukio hilo baya na linamtaka ajisalimishe haraka iwezekanavyo katika kituo chochote cha Polisi.

Imetolewa na:-
DEBORA D. MAGILIGIMBA-ACP
KAMANDA WA POLISI,
MKOA WA ILALA DAR ES SALAAM.
03/09/2021

View attachment 1922645
Huyo askari apimwe akili kwanza, au labda alitumia bange kwanza kabla ya kutenda tukio
 
mnisamehe bure kwa uamuzi wangu niliochukua kwa tukio nililolifanya nitaonekana nimekufa kizembe”[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
ITA KUWA HUYU ASKARI MAGEREZA NA MWENZAKE,
WAME CHANJWA CHANJO YA J&J

na ndio maana hata Job ndugai ANASEMA YESU ALI TEMBEA NA MKE WAKE....
IMG-20210904-WA0023.jpg
 
Ndo matatizo ya kuzuia porn Ayo.

Vijana walkua wanaponea kwenye viganja vyao
 
Hii wiki kesi za ubakaji zmekua nyingi [emoji848]
 
Ni demu wake aliye ishi nae kwa kipindi, jamaa kaomba mkopo kazini baada ya kupata mkopo demu kasepa na mkopo na baadhi ya vitu.. Kamuachia jamaa gheto tupu inavyosemekana lakini
[emoji849][emoji849] Sasa demu alivyoingia kwenye 18 akafanyiwa unyama huo
Nisitafutwe kwa ushahidi maana yapo mengi yanayosemwa
 
Hawana hela ya kuhonga, waongezeni mshahara hadi wanabaka !! Utakuta jamaa.mshaharabtake home 580,000.
 
Labda askali alimaliza mshahara wake lakini mdada hakuonyesha ushirikiano
Pambuchi ilkaliwa kinguvu tu
Labda ndio nini? Unaleta mzaha wakati utu wa mwenzako unachezewa.
 
pole dada uliyelawitiwa.....pole sana....inaumiza sana hizi mambo...nadhani sheria iboreshwe kdg......wawe wanahasiwa kabisa......kufugwa ni kutuongezea gharama walipa kodi.....ahasie au kidudu kifyekwe ndonga..... 😎
 
Hiii kaliii imetokea mkoa wa ilala dar es Salam duuuh sio poa ilala asahv ni mkoa eeeeeeh kweliii bia tamuuuuuu kwakweriiii
 
Back
Top Bottom