Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI
ACP Debora Magiligimba RPC Ilala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said,(26),Askari Magereza,Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29 (jina linaifadhiwa).
Mnamo tarehe 01/09/2021 majira ya saa tano nusu usiku katika barabara ya madafu Ukonga mtuhumiwa huyo ambaye ni askari wa Jeshi la Magereza mwenye namba B 9780 WDR Said Hassan akiwa na mwenzake ambaye bado hajakamatwa walimkamata kwa nguvu msichana huyo na kumuingiza kwenye gari dogo kisha kuondoka naye hadi kwenye nyumba moja iliyopo karibu na kambi ya KMKM Ukonga Magereza na kuanza kumbaka na kumlawiti kwa zamu.
Baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti watuhumiwa hao waliendelea kumfanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia na kumsababishia majeraha makubwa na maumivu makali katika sehehmu zake za siri.
Aidha, baada ya mtuhumiwa kugundua kuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tukio baya alilolifanya na mwenzake, mnamo tarehe 02/09/2021 alijaribu kujiua kwa kujinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi kwa mkuu wake wa kazi na askari wenzake kuwa “mnisamehe bure kwa uamuzi wangu niliochukua kwa tukio nililolifanya nitaonekana nimekufa kizembe” lakini kabla hajafanikisha azma yake ya kujitoa uhai alikamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linaendelea na msako mkali kwa mtuhumiwa mwenzake aliyekimbia baada ya tukio hilo baya na linamtaka ajisalimishe haraka iwezekanavyo katika kituo chochote cha Polisi.
Imetolewa na:-
DEBORA D. MAGILIGIMBA-ACP
KAMANDA WA POLISI,
MKOA WA ILALA DAR ES SALAAM.
03/09/2021
View attachment 1922645
Hawa ni magereza siyo wa SiroSiro anajisikiaje kuwa kama mlezi wa Askari kama Hawa?
Anajisikiaje jeshi la Police kuwa na watumishi wa aina
Juzi Handeni wameshika wanawake leo dar wamebaka na kufanya binti wa watu kinyume!
Hawa Askari na Hamza nani ni Gaidi zaidi?
Huyo askari apimwe akili kwanza, au labda alitumia bange kwanza kabla ya kutenda tukioTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI
ACP Debora Magiligimba RPC Ilala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29 (jina linahifadhiwa).
Mnamo tarehe 01/09/2021 majira ya saa tano nusu usiku katika barabara ya madafu Ukonga mtuhumiwa huyo ambaye ni askari wa Jeshi la Magereza mwenye namba B 9780 WDR Said Hassan akiwa na mwenzake ambaye bado hajakamatwa walimkamata kwa nguvu msichana huyo na kumuingiza kwenye gari dogo kisha kuondoka naye hadi kwenye nyumba moja iliyopo karibu na kambi ya KMKM Ukonga Magereza na kuanza kumbaka na kumlawiti kwa zamu.
Baada ya kumaliza kumbaka na kumlawiti watuhumiwa hao waliendelea kumfanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia na kumsababishia majeraha makubwa na maumivu makali katika sehehmu zake za siri.
Aidha, baada ya mtuhumiwa kugundua kuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tukio baya alilolifanya na mwenzake, mnamo tarehe 02/09/2021 alijaribu kujiua kwa kujinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi kwa mkuu wake wa kazi na askari wenzake kuwa “mnisamehe bure kwa uamuzi wangu niliochukua kwa tukio nililolifanya nitaonekana nimekufa kizembe” lakini kabla hajafanikisha azma yake ya kujitoa uhai alikamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linaendelea na msako mkali kwa mtuhumiwa mwenzake aliyekimbia baada ya tukio hilo baya na linamtaka ajisalimishe haraka iwezekanavyo katika kituo chochote cha Polisi.
Imetolewa na:-
DEBORA D. MAGILIGIMBA-ACP
KAMANDA WA POLISI,
MKOA WA ILALA DAR ES SALAAM.
03/09/2021
View attachment 1922645
FafanuaNa ikija kuthibitika vinginevyo, ni nani atamsafisha huyo askari?! alafu kwanini mara nyingi wanawake hawatajwi majina hata kama ni watuhumiwa?!
Labda ndio nini? Unaleta mzaha wakati utu wa mwenzako unachezewa.Labda askali alimaliza mshahara wake lakini mdada hakuonyesha ushirikiano
Pambuchi ilkaliwa kinguvu tu
kwani ukiwa na miaka 50 kubakwa kunnabadirishwa jina?Kuna tafauti ya miaka binti, msichana na mwanamke sasa huyo aliebakwa ni mwanamke kutokana na umri miaka 29 sio msichana.
Mkoa wakipolisi mkuu.Hiii kaliii imetokea mkoa wa ilala dar es Salam duuuh sio poa ilala asahv ni mkoa eeeeeeh kweliii bia tamuuuuuu kwakweriiii