Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.

Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.

Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
 
Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.

lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.

makamu wa Rais kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano. haiyumkiniki
Pumbavu
 
Amewapa, amewapa, amewapa!!!

Huyo ni sawa na karani aliyeajiriwa kugawa ujira wa wafanyakazi wa Kampuni.

Ni HAKI Yao, na ni pesa za umma Kutoka Kodi za wananchi!!

Yeye binafsi analipwa na wananchi!!
 
Ifike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Kuwauzia Waarabu urithi wetu na kusahau thamani yetu na vizazi vijavyo iwe ni shukrani kwa kiongozi ambaye haoni mbali?Hata kama wema utalipwa hapa hapa duniani na ubaya vile vile utalipwa hapa hapa duniani.
 
Kama mna agenda yenye mashiko kwann mnatoa Lugha za kugawa watu ohoo mara Watanganyika ohooo Wazanzibari Taifa hili ni moja nalo linaitwa Tanzania,Hata hivyo kwa maono niliyo nayo kuna siku watu wa Tanga na mwambao wa pwani wao nao watasema ndio Watanganyika halisi je tunao baki tutajiitaje?kwa kuwa neno Tanganyika limetokana na maneno haya na nukuu "Tanga na Nyika zake" Mwisho wa kunukuu.
 
Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.

Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.

Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Ni kipi alichofanya kama hisani hapo?
 
ila huoni nia njema ya taifa lenye watu wenye staha na kuheshimiana mkatofautiana kwa hoja bila matusi au kuvunja heshima za watu
Ni kipi alichofanya kama hisani hapo?
 
Mbona Yule mwamba hakuwapa na hawakumfanya chochote zaidi walisubiri Mungu ampende zaid.. hypocrite 😁😁
Watu wajinga kipimo chao ni watu wasiofuata sheria. Ni sawa na umuone mtoto wako ana akili kwa kupata division four, kisa kuna waliopata zero.
 
Acha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.
Shetani lazima anangwe na kila mtu.
 
Back
Top Bottom