startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Dah 😂😂Kwani CCM ikiiba kura inaiba kwa staha?.....ng'ombe
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah 😂😂Kwani CCM ikiiba kura inaiba kwa staha?.....ng'ombe
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi mnavyoingia madarakani kwa njia za kihayawani, sijui unapata wapi nguvu ya kusema mna staha.ila huoni nia njema ya taifa lenye watu wenye staha na kuheshimiana mkatofautiana kwa hoja bila matusi au kuvunja heshima za watu
Ukiona hashtag zinatembea Twitter ujue kumekwiva.....nasikia leo watatu wamedakwa! Haya twenzetu tukapush #free somebody 😄😄Acha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.
Wewe si ni mzanzibarmimi hpn so toa kila mtu
we poyoyo kahangaike na urithi wa kwenu, nchi yetu iko salama.Kuwauzia Waarabu urithi wetu na kusahau thamani yetu na vizazi vijavyo iwe ni shukrani kwa kiongozi ambaye haoni mbali?Hata kama wema utalipwa hapa hapa duniani na ubaya vile vile utalipwa hapa hapa duniani.
hao mbweha watabaki kubweka tu na kazi inaendeleaYaani kuwafungulia CDM ndio tuwape kwa kugawa bandari zetu. Achana na bandari wew
Siasa ni neno la kiarabu,unajua kiarabu!?unajua au unafahamu chochote kuhusu neno" siasa"?
hakuna wa kumpinga, watanzania tunamwunga mkono, achape kazi, mjinyonge na husda zenuSamia anapaswa kupingwa na kila mtu
we sidhani km hata unaelewaga speechAcha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.
Wewe utakuwa ukurutu na sio chawa, Hayo yote uliyoyaandika yapo kwenye katiba ya nchi na sio upendeleo, wala Rais Samia hajampa mtu yoyote, suala la katiba ni la wananchi, siku zinakuja wananchi watapewa heshima yao.Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Wivu tu
Tumtetee mama kwa lipi?.Ifike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Hao ni wezi wa fadhilia, bila kuunda majanga hawajuwi siasa kabisa.Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Vyote amefanya kwa mujibu wa sheria na sio hisani.Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Ukimpa paka Maziwa, atadai na visheti.Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Hivi kwanini ni halali mzanzibari kujitambulisha Kama mzanzibari ila haramu mtanganyika kujitambulisha Kama mtanganyika. Maana Tanzania ni jina la muungano ila sio jina la asili.Kama mna agenda yenye mashiko kwann mnatoa Lugha za kugawa watu ohoo mara Watanganyika ohooo Wazanzibari Taifa hili ni moja nalo linaitwa Tanzania,Hata hivyo kwa maono niliyo nayo kuna siku watu wa Tanga na mwambao wa pwani wao nao watasema ndio Watanganyika halisi je tunao baki tutajiitaje?kwa kuwa neno Tanganyika limetokana na maneno haya na nukuu "Tanga na Nyika zake" Mwisho wa kunukuu.
Soon wanachokitafuta watakipata,uchaguzi ni 2025 wao washaanza kampeni na matusi juu,ndio naona umuhimu wa magu alipowaambia mambo watayafanya kipindi cha uchaguzi,sijawahi kuona upinzani wa kufanya mikutano ya hadhara kama hii nje ya kipindi cha uchaguzi,mama anawalea hawa jamaa ifike afanye kama alivyofanya magufuliIfike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Alikua hajui kama wale jamaa ni mbwa na mbwa akikuzoea atakufuata mpaka msikitini 😀Acha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.
Hisia nyingi kuliko factsAmewapa Pesa za ruzuku