Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

Ni HAKI ilocheleweshwa.

Yule ni Mwajiriwa tu, pesa ni zetu wananchi.
 
Kama mna agenda yenye mashiko kwann mnatoa Lugha za kugawa watu ohoo mara Watanganyika ohooo Wazanzibari Taifa hili ni moja nalo linaitwa Tanzania,Hata hivyo kwa maono niliyo nayo kuna siku watu wa Tanga na mwambao wa pwani wao nao watasema ndio Watanganyika halisi je tunao baki tutajiitaje?kwa kuwa neno Tanganyika limetokana na maneno haya na nukuu "Tanga na Nyika zake" Mwisho wa kunukuu.
Tanga ni Pwani
Nyika ni Msitu/Vichaka

Tanga inaanzia mwambao wa Ziwa Tanganyika, Nyasa, Victoria kwa upande Magharibi.

Upande wa Mashariki ndio Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara

Hapo kati kati ndio Nyika.

Wale ni Wazanzibari kwa sababu wanajinasibu na Uzanzibari, Wana vitu vyote vya Uzanzibari.
Mpaka Wana ajira zao na serikari yao.

Kwa nini iwe Nongwa kuuzungumzia Tanganyika?
 
Nashukuru umeniongezea kitu
 
Back
Top Bottom