assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
PumbavuAmewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
makamu wa Rais kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano. haiyumkiniki
Kuwauzia Waarabu urithi wetu na kusahau thamani yetu na vizazi vijavyo iwe ni shukrani kwa kiongozi ambaye haoni mbali?Hata kama wema utalipwa hapa hapa duniani na ubaya vile vile utalipwa hapa hapa duniani.Ifike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Wivu tuKuwauzia Waarabu urithi wetu na kusahau thamani yetu na vizazi vijavyo iwe ni shukrani kwa kiongozi ambaye haoni mbali?Hata kama wema utalipwa hapa hapa duniani na ubaya vile vile utalipwa hapa hapa duniani.
Mmtetee na nani? Wanao mtetea account zao zonasoma,Ifike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Kama mna agenda yenye mashiko kwann mnatoa Lugha za kugawa watu ohoo mara Watanganyika ohooo Wazanzibari Taifa hili ni moja nalo linaitwa Tanzania,Hata hivyo kwa maono niliyo nayo kuna siku watu wa Tanga na mwambao wa pwani wao nao watasema ndio Watanganyika halisi je tunao baki tutajiitaje?kwa kuwa neno Tanganyika limetokana na maneno haya na nukuu "Tanga na Nyika zake" Mwisho wa kunukuu.Kuwauzia Waarabu urithi wetu na kusahau thamani yetu na vizazi vijavyo iwe ni shukrani kwa kiongozi ambaye haoni mbali?Hata kama wema utalipwa hapa hapa duniani na ubaya vile vile utalipwa hapa hapa duniani.
Mbona Yule mwamba hakuwapa na hawakumfanya chochote zaidi walisubiri Mungu ampende zaid.. hypocrite ππAmewapa, amewapa, amewapa!!!
Ni HAKI Yao, na ni pesa za umma Kutoka Kodi za wananchi!!
Yeye binafsi analipwa na wananchi!!
ni kweli mama naye anaroho, anafamilia. ngoja awape kesi ndo vitu baadhi wanavihitaj zaidi badala ya aman na utulivuIfike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Ni kipi alichofanya kama hisani hapo?Amewapa Pesa za ruzuku
ameruhusu mikutano
ameahidi kuwapa katiba mpya
amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni
baadhi wamelipwa malimbikizo yao
amekubali Maridhiano.
Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck kutukana na kukejeli then utalipwa ubaya in return.
Makamu wa Rais Kenya aliwaambia waandamanaji mlitaka polisi wawabusu kwenye maandamano, haiyumkiniki
Ni kipi alichofanya kama hisani hapo?
Acha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.Ifike mahali sote tumtetee mama,This is too much as British saying "Everything too much is harmful"
Watu wajinga kipimo chao ni watu wasiofuata sheria. Ni sawa na umuone mtoto wako ana akili kwa kupata division four, kisa kuna waliopata zero.Mbona Yule mwamba hakuwapa na hawakumfanya chochote zaidi walisubiri Mungu ampende zaid.. hypocrite ππ
Kwani CCM ikiiba kura inaiba kwa staha?.....ng'ombeila huoni nia njema ya taifa lenye watu wenye staha na kuheshimiana mkatofautiana kwa hoja bila matusi au kuvunja heshima za watu
Shetani lazima anangwe na kila mtu.Acha wamnange tu kwsbb ht yeye alianza kuungana nao hapo mwanzo kunamnaga mtangulizi wake. Kila speech ilikuwa lazima amnange.