Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

Ni HAKI ilocheleweshwa.

Yule ni Mwajiriwa tu, pesa ni zetu wananchi.
 
Tanga ni Pwani
Nyika ni Msitu/Vichaka

Tanga inaanzia mwambao wa Ziwa Tanganyika, Nyasa, Victoria kwa upande Magharibi.

Upande wa Mashariki ndio Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara

Hapo kati kati ndio Nyika.

Wale ni Wazanzibari kwa sababu wanajinasibu na Uzanzibari, Wana vitu vyote vya Uzanzibari.
Mpaka Wana ajira zao na serikari yao.

Kwa nini iwe Nongwa kuuzungumzia Tanganyika?
 
Nashukuru umeniongezea kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…