Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
MATAGA unganisheni nguvu tuwatambue mmoja moja. Achana na story za nyuma ya keyboard. Kwa sasa ni kiroboto moja tuu ndo amejitokeza hadharani!
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona saizi yupo chato anaendelea kuoza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…