Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Yana mwisho, ata Magufuli alikuwa na aibu zake kwa mafisadi; he wasn’t perfect sana sana katuonyesha vijana mafisadi mnaweza yamudu mbeleni.

Kwenda mbele ni mtindo wa S.A baada ya uhuru na watesi wao tubu yaishe.

Tanzania ya kesho aitokubali wanaodhani wanahati miliki ya nchii.

Mtazamo wa Polepole ndio wa vijana wa leo; it’s enough of this nonsense.

Yaani fala kama Nape atumudu kesho over my dead body.

Huu ndio mwisho wa wahuni with or without Magufuli.
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Vipi ile legasi mliyoapa kuilinda, kwa mtutu mmeweza??
 
Wakati wa kampeni akawa anawalalamikia hvi

"Mwinyi mlimpa miaka 10, Mkapa miaka 10, mzee Kikwete miaka 10, mbona mimi mnataka kuniipa mi5 pekee? Wahuni si watu, hivi walimpa mingapi kweli?
Kwani si alikuwa anajitetea hivyo mbele ya wananchi ili wampe kura kwa mtazamo wako wananchi waligeuka wahuni.
Hata hivyo ukipandacho usiogope kukivuna.
Sasa kama unaua usiogope kufa
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Ila mwisho wa siku wakamnasa
 
Pale mbezi stand alisema ana karatasi ya vitisho, akaionesha kidogo then akaisunda mfukoni.

Alisema hata wa juu wanalijua ila walikaa kimya.

Ile karatasi iliishia wapi, maana huo usemi na kifo havikupishana hata wiki moja.
 
Wanahusika by far according to my Guts! Kuna watu michongo yao ilifelishwa mda mrefu na ndio hao waliokuwa wanasheherekea kifo cha Jabali!
Na ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.

Angalia aina ya watu wanaomchukia, kina Judge Werema ambao walikuwa wanufaika wa ufisadi kama Escrow, n.k.

#kataawahuni
 
Wapuuzi tu hawa waliobaki ni mafisadi tu wasiojali hata watu
 
Na ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.

Angalia aina ya watu wanaomchukia, kina Judge Werema ambao walikuwa wanufaika wa ufisadi kama Escrow, n.k.

#kataawahuni
Endeleeni kufarijiana watoto yatima.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Zile zilikua porojo tu wewe ndo maana aliongea kirahisi rahisi.hivi magu kwa kichwa kile tena kashika mpini anusurike kama alivyosema alafu aliache lipite kirahisi rahisi tu.Na bado siamini kama alishughulikia wabaya wake kimya kimya kwenye jambo kama ilo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Ungewataja hao wahuni tuwafahamu ili polisi wawachukulie hatua.
 
Tatizo wahuni ni matajiri, kuwakunja ni kazi, inatakiwa duwa na sala.
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Hata mangula nae alinusurika pia
 
jamani naomba mniombee,
mbona mm mnataka kunipa miaka 5pekee!!??

Kauli fikilishi Sana,huyu mwamba alijua Jambo,kosa alilofanya alishindwa kuweka hadharani,ukimya ukamponza!! r.i.p
 
Back
Top Bottom