Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Watu wangapi waliuwawa kwa amri yake??

Aliambiwa mara ngapi awe mtenda haki hakusikia??

Leo hii Ben Saanane alipo anaoza na huyo boss wenu pia anaoza vile vile ndio mkumbuke duniani ni kwa kupita tu !

Poleni MATAGA zoeeni na mjuwe kufiwa kunafananaje na huyo mtu wenu hatorudi kamwe hapa hata mkatambikie MATAGA pori na Sukuma gang
 
Una ishahidi wa watu wangapi?are you just anothet parrot echoing the rumour mongers?
Great thinker must think
 
You don't need a PhD to justify the evil acts done by the old vicious tyrant

And you have no moral probity to espouse on matters relating to human rights and principles of constitutionalism

The dictactor is gone for good. Period
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.

Ni kweli, lakini leo tunaongelea ukweli wa Mwingira, huu ukweli wako ulete siku nyingine.
 
Taja walau kumi tu waliouwawa na Magufuli. Hatutaki blah blah

Back
Top Bottom