Chuki gani tulipokuwa tunasema analeta chuki na kugawa taifa mbona mlikuwa mnaona sawa leo ndio mnajua chuki ipo?Lugha uliyotumia sio nzuri ndugu yangu, chuki itakumaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki gani tulipokuwa tunasema analeta chuki na kugawa taifa mbona mlikuwa mnaona sawa leo ndio mnajua chuki ipo?Lugha uliyotumia sio nzuri ndugu yangu, chuki itakumaliza.
Mtu au shetani ?Mtu gani kila akikumbukwa anakumbukwa kwa maovu tu, kha!
Ina maana ile crew yote ya ulinzi ilikuwa compromised.Wanahusika by far according to my Guts! Kuna watu michongo yao ilifelishwa mda mrefu na ndio hao waliokuwa wanasheherekea kifo cha Jabali!
Mzee ni pinch moja tu ya corrossive au irritant agent inaweza kukuletea madhara hata ukiwa na walinzi 1000 wenye SMG
Alishindwa nini kuwafungulia mashtaka ya huo ufisadi.Na ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.
Angalia aina ya watu wanaomchukia, kina Judge Werema ambao walikuwa wanufaika wa ufisadi kama Escrow, n.k.
#kataawahuni
Mbona Mohammed Dewji pamoja na utajiri lakini vijana wa Magufuli walimvalisha khanga.Tatizo wahuni ni matajiri, kuwakunja ni kazi, inatakiwa duwa na sala.
Alijua miaka mitano amefanya utumbo mwingi ndio maana akaandaa jeshi kubwa kuwahi kutokea la kumsaidia kuiba kura chini ya usimamizi wa mtutu wa bunduki.jamani naomba mniombee,
mbona mm mnataka kunipa miaka 5pekee!!??
Kauli fikilishi Sana,huyu mwamba alijua Jambo,kosa alilofanya alishindwa kuweka hadharani,ukimya ukamponza!! r.i.p
All in all lazima iwe inside job, short of that, hakuna linalowezekana kirahisi rahisi.Mzee ni pinch moja tu ya corrossive au irritant agent inaweza kukuletea madhara hata ukiwa na walinzi 1000 wenye SMG
Hivi hata Sabaya anatetewa?!? Hiyo too much.Namaanisha wahuni wanaowaattack hao
Kweli mzeeAll in all lazima iwe inside job, short of that, hakuna linalowezekana kirahisi rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwere siyo binadamuHayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Mimi mmojawao nililia kiume kwa machozi tu bila kupiga kelele wala kuzimia!Kuna wakati human nature inatisha sana - literally. Najaribu sana kuelewa Magufuli alichowapa wafuasi wake. Bado sijaelewa watu wanawezaje kuwa na utiifu wa kiasi hicho kwa binadamu mwenzao. Tena wengine unaona kabisa hawana material benefit yoyote kwa mtu huyo mtata.
Hawasikii wala hawaelewi kitu mbele ya huyo mtu (marehemu). Nina dada yangu mke wa mtu. Kilio alichoangusha siku ya tangazo la kifo cha Magufuli ni “epic”. Wiki nzima alikuwa kaputi. Kazini kwake (an international NGO) ilibidi tutoe uongo apewe sick leave. Shemeji yangu akawa anang’aa macho tu. Ninavyowafahamu wanawake, I felt very sad him - ni kama kuibiwa kitu cha thamani sana - nafsi ya mtu wako.
Baadaye kumhoji ilikuwaje akadai ni “mstuko wa roho” tu kila akiikumbuka sura na sauti ya baba yule! Ni msiba huu. A real tragedy [emoji853].
Wako wengi nchini wa jinsia zote. Hapa JF ndio wamejaa. Akitajwa vibaya tu jinsi wanavyohamaki na kujibu unayafeel maumivu yao. Unaweza hata kuvisikia vilio na maombolezo yao toka ndani kabisa ya nafsi zao!
I really pray for their true healing from the inexplicable trauma. Kupona kwao ni kwa faida yetu wote. Angalau tuweze kurejea kwenye mijadala ya kawaida ya jukwaa la siasa.
Tuwe Serious kidogo! Hivi ni kweli unaamini Lissu angemshinda Magufuli 2020? Dkt Slaa aliyekajipatia umaruufu tu chini ya serikali iliyokajaa ufisadi ya Jakaya hujaona ndiyo kwa Magu ambae aligusa watu wa chini kabisa!Alijua miaka mitano amefanya utumbo mwingi ndio maana akaandaa jeshi kubwa kuwahi kutokea la kumsaidia kuiba kura chini ya usimamizi wa mtutu wa bunduki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaamini Lissu hasingeweza kumshinda Magufuli, unaweza kunipa sababu ya Magufuli kutumia wizi wa kura sambamba na kuwatisha wasimamizi wa uchaguzi kwa bunduki wapike matokeo ili kukipendelea chama chake cha mafisadi papa duniani ?Tuwe Serious kidogo! Hivi ni kweli unaamini Lissu angemshinda Magufuli 2020? Dkt Slaa aliyekajipatia umaruufu tu chini ya serikali iliyokajaa ufisadi ya Jakaya hujaona ndiyo kwa Magu ambae aligusa watu wa chini kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna evidence?Kama unaamini Lissu hasingeweza kumshinda Magufuli, unaweza kunipa sababu ya Magufuli kutumia wizi wa kura sambamba na kuwatisha wasimamizi wa uchaguzi kwa bunduki wapike matokeo ili kukipendelea chama chake cha mafisadi papa duniani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kama wamkubali kufa na wewe mkutane na kipenzi chenuNa huenda ndio walituondolea kipenzi chetu mwaka huu.
#kataawahuni
Kumbe huwa wanapangiwa na wanapangwa, inaonesha alilazimishaWakati wa kampeni akawa anawalalamikia hvi
"Mwinyi mlimpa miaka 10, Mkapa miaka 10, mzee Kikwete miaka 10, mbona mimi mnataka kuniipa mi5 pekee? Wahuni si watu, hivi walimpa mingapi kweli?
CHADEMA mlitumia zaidi ya miaka nane kutuaminisha Lowassa ni fisadi only mkaishia kumpa heshima ya juu kabisa ya kisiasa.Alishindwa nini kuwafungulia mashtaka ya huo ufisadi.
Kesi za ufisadi zikifunguliwa kwa haki kwenye nchi hii , 70% ya viongozi watakutwa na makosa ya ufisadi na ulaji wa Rushwa uliokubuhu.
Sent using Jamii Forums mobile app