Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Hata mangula nae alinusurika pia
wahuni sio watu kabisa, r.i.p mmakonde!!,huyu angekuwa hai angeongea yote hadharani,huyu mwamba alikuwa haogopi kitu,Kama bwai na iwe bwai,,na ndo mtu pekee aliyekuwa threat kwa wahuni!!
Wahuni sio watu aise!!
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Ndiyo Maana Nabii Mwingira anaweza kuwa ana mkono wake kwa kifo cha Dkt Magufuli. Kama rais Dkt Magufuli alinusurika kuuawa mara kibao
 
Taja walau kumi tu waliouwawa na Magufuli. Hatutaki blah blah
kama Magu alishindwa kuwataja waliotaka kupita nae ndio huyo jamaa ataweza wataja waliopitiwa awamu ya5?
 
TZ tuna siasa za fitina, uchawi ,uchawa ,umalaya , uongoo
Kitu ambacho kinarudisha maendeleo ya nchii Sana.
Ivi ss ni WA kusheherekea 60 independence day nguvu .
Wakati tuna shule za udongo
 
kama Magu alishindwa kuwataja waliotaka kupita nae ndio huyo jamaa ataweza wataja waliopitiwa awamu ya5?
Tatizo mnalishana uongo na mnauamini.
Mnalopoka km mmekatwa vichwa. Yaan km mataahira vile....
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Covid-19
 
Watu wangapi waliuwawa kwa amri yake??

Aliambiwa mara ngapi awe mtenda haki hakusikia??

Leo hii Ben Saanane alipo anaoza na huyo boss wenu pia anaoza vile vile ndio mkumbuke duniani ni kwa kupita tu !

Poleni MATAGA zoeeni na mjuwe kufiwa kunafananaje na huyo mtu wenu hatorudi kamwe hapa hata mkatambikie MATAGA pori na Sukuma gang
Nawe utaoza tu ndugu yangu.
 
Mm naona humu ndani ndio Kuna nyuzi za kumpinga magufuli lkn huku vijiweni uwezi kuwaambia lolote watu kuhus magufuli yaani watakufurusha at ukiwapa ushaidi hawaelewi lolote ..huwacbishani sna nikiona mjadal wa kumsifia magufuli umeanza bas naondoka zangu mnk nakoza angle ya kuwaelewesha adhar za magufuli katka utawal uliopita
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.

Ujumbe huu kwa Zuma ulimhusu sana:

IMG_20211227_112550_315.jpg

Pia kwa wangalipo.
 
Magufuli aliamrisha tundu lisu auwawe na akazikwe kijijini kwao.
Alimua BEN SANANE
Alimua Anzory Gwanda
Alipeleka majeshi huko MKIRU na kuua maelfu ya wananchi wasio na hatia KISA wana ndevu
Asante mungu kwa wema ulioitendea tz
 
Yule
Mm naona humu ndani ndio Kuna nyuzi za kumpinga magufuli lkn huku vijiweni uwezi kuwaambia lolote watu kuhus magufuli yaani watakufurusha at ukiwapa ushaidi hawaelewi lolote ..huwacbishani sna nikiona mjadal wa kumsifia magufuli umeanza bas naondoka zangu mnk nakoza angle ya kuwaelewesha adhar za magufuli katka utawal uliopita
alikuwa raisi wa propaganda . Nna watanzania siyo watu wa kutafuta ukweli!
Kwani magufuli aliyabadilisha maisha yao???
 
Hakufanya yote hayo weka ushahidi
Niambie kwanza
Aliyemmiminia tundu lisu risasi mchana kweupe ni nani kama hakuwa na barakoa za magufuli?
Nani alimpoteza Ben Sanane, gwanda na wengine kama siyo magufuli?
Nani alipeleka jeshi MKIRU kama siyo ma9?
Ushahidi utoe wewe baada ya kujibu hayo
 
Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Atabaki kuwa kiongozi katili na dictator aliyekatiza uhai wa watu wengi sana wasiokuwa na hatia. Ni muovu
 
Unayoongea ni porojo kama huweki ushahidi porojo hazina ushahidi.
Wewe ndiyo unaileta porojo.
Ulitaka nichole picha ya magufuli akimpiga lisu lisasi???
Mwingira katamka jana tu na leo wazir kaita waandishi na mwingira anaitwa polisi!
Kwenye issue ya lisu nani ameitwa polisi japo kwa kushukiwa mpaka leo???
Unahisi wote watoto hapa???
 
Back
Top Bottom