Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Mimi na wewe na wengine wote tutakufa.Aiseee kama wamkubali kufa na wewe mkutane na kipenzi chenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wewe na wengine wote tutakufa.Aiseee kama wamkubali kufa na wewe mkutane na kipenzi chenu
Hapana,wahuni anaomaanisha ni wale wenye hati milki ya chama.Una maanisha wahuni kama Sabaya, Musiba, Makonda & Co.
Mkuu unapotaja watu wangapi wameuawa wewe kwenu aliua wangapi? Suala la kuoza hata wewe utaoza tu, na huenda sio siku nyingi, Wewe alikunyima haki gani?Watu wangapi waliuwawa kwa amri yake??
Aliambiwa mara ngapi awe mtenda haki hakusikia??
Leo hii Ben Saanane alipo anaoza na huyo boss wenu pia anaoza vile vile ndio mkumbuke duniani ni kwa kupita tu !
Poleni MATAGA zoeeni na mjuwe kufiwa kunafananaje na huyo mtu wenu hatorudi kamwe hapa hata mkatambikie MATAGA pori na Sukuma gang