Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

Mkuu unapotaja watu wangapi wameuawa wewe kwenu aliua wangapi? Suala la kuoza hata wewe utaoza tu, na huenda sio siku nyingi, Wewe alikunyima haki gani?
Msipende kukuza vitu ambavyo havipo, embu oredhesha watu unaowajua kuwa waliuawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…