Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na wanasayansi ama wasomi wenye elimu za kutosha .. La hasha, yamegunduliwa na wananchi wa kawaida kabisa ambao ni wakulima na wafugaji na ambao ugunduzi wao haukuwafaidisha chochote.. Baadhi walifungua kesi lakini hawakufika popote
Leo hii madini hayo yalishauzwa kwa mabepari kwa bei ya kutupa na yameshachimbwa yote
Tumeachiwa Mashimo yanayohifadhi maji machafu yenye bakteria wanaoleta magonjwa
Tumeachiwa milima bandia ya vifusi vya udongo usio na kitu
Tumeachiwa unaribifu mkubwa wa mazingira ulioharibu mpaka vyanzo vya maji kwa sumu mbalimbali za kuchenjulia madini
Tumeachiwa mamia ya watoto wasio na baba
Tumeachiwa vijana walevi na mmateja
Tumeachiwa mabinti wanaojiuza
Kwa kifupi tumeachiwa vilio misiba majuto na kila aina ya uchafu
Sasa kuna video zinatembea mitandaoni za gesi asilia inayovuja kupitia kizima cha maji
Yaleyale ya kuokota madini.. Hii gesi imejaa huko chini ya ardhi mpaka inavuja.. Je nayo tutaiuza kama ile ya Mtwara? Au kama yale madini yote?
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.! Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
Hiyo ni gas bila shaka tabia ya viongozi wa kiafrika ni ubinafsi tuendelee kumuomba Mungu aendelee kuingilia kati maliasili ziende zikamnufaishe kila mtanzania
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na wanasayansi ama wasomi wenye elimu za kutosha .. La hasha, yamegunduliwa na wananchi wa kawaida kabisa ambao ni wakulima na wafugaji na ambao ugunduzi wao haukuwafaidisha chochote.. Baadhi walifungua kesi lakini hawakufika popote
Leo hii madini hayo yalishauzwa kwa mabepari kwa bei ya kutupa na yameshachimbwa yote
Tumeachiwa Massimo yanayohifadhi maji machafu yenye bakteria wanaoleta magonjwa
Tumeachiwa milima bandia ya vifusi vya udongo usio na kitu
Tumeachiwa unaribifu mkubwa wa mazingirw ulioharibu mpaka vyanzo vya maji kwa sumu mbalimbali za kuchenjulia madini
Tumeachiwa mamia ya watoto wasio na baba
Tumeachiwa vijana walevi na mmateja
Tumeachiwa mabinti wanaojiuza
Kwa kifupi tumeachiwa vilio misiba majuto na kila aina ya uchafu
Sasa kuna video zinatembea mitandaoni za gesi asilia inayovuja kupitia kizima cha maji
Yaleyale ya kuokota madini.. Hii gesi imejaa huko chini ya ardhi mpaka inavuja.. Je nayo tutaiuza kama ile ya Mtwara? Au kama yale madini yote? View attachment 3114766

Hata huko mbele kwa mabeberu, rasilimali hazimilikiwi na watu wote. Ni watu wachache wanaomiliki rasilimali za dunia. Matajiri au mabwanyenye yaliyojikusanyia mali kwa miaka na mikaka. China kuna tofauti kidogo.
Kwa hiyo na sisi tungeiga tuwe na mabwanyenye yenye nguvu, yenye uwezo wa Ku import labour and technology. Mabwanyenye ya nje Yakima, yashirikiane na mabwanyenye yetu. Tuwe na watu wenye uwezo wa kumiliki vitu vizito kama kina Dangote na Refinery yake. Wapewe ushirikiano, waogopwe, walindwe.
By the way mtu tajiri huwafaidisha raia na serikali. Tajiri is just ownership lkn benefits zitakuwa kwa wote.
Maskini kadri rasilimali zinavyozidi kugundulika ndipo umaskini unamzidi.
Hapa nchini tulipaswa tuwe na kitu kimoja tu aidha bandari ya DSM tu, au mount Kilimanjaro tu au Serengeti national park tu.