Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na wanasayansi ama wasomi wenye elimu za kutosha .. La hasha, yamegunduliwa na wananchi wa kawaida kabisa ambao ni wakulima na wafugaji na ambao ugunduzi wao haukuwafaidisha chochote.. Baadhi walifungua kesi lakini hawakufika popote
Leo hii madini hayo yalishauzwa kwa mabepari kwa bei ya kutupa na yameshachimbwa yote
Tumeachiwa Mashimo yanayohifadhi maji machafu yenye bakteria wanaoleta magonjwa
Tumeachiwa milima bandia ya vifusi vya udongo usio na kitu
Tumeachiwa unaribifu mkubwa wa mazingira ulioharibu mpaka vyanzo vya maji kwa sumu mbalimbali za kuchenjulia madini
Tumeachiwa mamia ya watoto wasio na baba
Tumeachiwa vijana walevi na mmateja
Tumeachiwa mabinti wanaojiuza
Kwa kifupi tumeachiwa vilio misiba majuto na kila aina ya uchafu
Sasa kuna video zinatembea mitandaoni za gesi asilia inayovuja kupitia kizima cha maji
Yaleyale ya kuokota madini.. Hii gesi imejaa huko chini ya ardhi mpaka inavuja.. Je nayo tutaiuza kama ile ya Mtwara? Au kama yale madini yote?
www.jamiiforums.com

Hata hii nayo tutauza kwa mabepari?
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.! Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...