Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

Kwanza huo udokta wenyewe ni halali au wa mchongo?
 
Si tuna migodi ya chuma kule mchuchuma na liganga? Ila cha ajabu mapanga, majembe n.k tunaingiza nchini kutoka china
 
Si tuna migodi ya chuma kule mchuchuma na liganga? Ila cha ajabu mapanga, majembe n.k tunaingiza nchini kutoka china
Hili ni tatizo la viongozi. Ukiwa na chuma chako ni rahisi kuanzisha viwanda vya majembe, mapanga, majembe ya ng'ombe, ya matrekta nk. Hakuna nchi inaweza kuendelea kiviwanda bila ya kuzalisha chuma cha kutosha.
 
Na wew ni mtanzania, Tengeneza hicho kwa ajiili ya waTz, si unaona rahisi, au wew hujaenda shule ?
 
Tunaishi poor developing country ,raw-material zipo ila technology ya kupata Hizo material bado ni poor,Umeme ni kisanga,urasimu mwingi ,bado Mtu anataka miracle kutoka Kwa vijana wanaotoka familia duni bila mtaji wa connection,hii so sawa
Hahahahahahaha

Sasa nikuambie hata hao watoto wenye connection nao pia wanapambana kifupi kufungua kiwanda hata kile kdg inahitaji mtaji haswa si mchezo
 
Umeshafanya innovation gani
 
Unafahamu maana ya mass production and industrial subsidies. Kikitengezwa bongo hicho hakitauzwa kwa buku, kwa mtindo huu hatutaweza shindana na viwanda vya China.
 
Unafahamu maana ya mass production and industrial subsidies. Kikitengezwa bongo hicho hakitauzwa kwa buku, kwa mtindo huu hatutaweza shindana na viwanda vya China.
Issue ni mtaji wa kufanya mass production ya hio kitu tunao? Matajiri wetu wanafanya biashara ya maji tu
 
Issue ni mtaji wa kufanya mass production ya hio kitu tunao? Matajiri wetu wanafanya biashara ya maji tu
Mikopo si mnachukua kila siku huko nje?, au siyo ninyi watanzania?
 
Watoto shuleni wanakaririshwa zaidi hivi
CH4(g) + 2O2(g) → CO2(g) + 2H2O(l)
Walete sasa kwenye uhalisia, utacheka...
 
Kabla ya kulalamika na kusema Nchi ya maajabu wewe umetengeneza kipi? Au unataka nani atengeneze Ili wewe utumie?

Hilo ndio ajabu lenyewe
 
Kabla ya kulalamika na kusema Nchi ya maajabu wewe umetengeneza kipi? Au unataka nani atengeneze Ili wewe utumie?

Hilo ndio ajabu lenyewe
Wasomi wafanye ugunduzi na uvumbuzi, sisi tutatengeneza mbona!
 
Watoto shuleni wanakaririshwa zaidi hivi
CH4(g) + 2O2(g) → CO2(g) + 2H2O(l)
Walete sasa kwenye uhalisia, utacheka...
Hapo kuna watu umewaacha gizani wanaochanganya makemikali hata hawajasoma chemistry waliosoma chemistry hawachanganyi makemikali Dunia hii imejaa ufala sana
 
Hahahahahahaha

Sasa nikuambie hata hao watoto wenye connection nao pia wanapambana kifupi kufungua kiwanda hata kile kdg inahitaji mtaji haswa si mchezo
Umeona Sasa mambo yenyewe ndio hayo!Sio mambo ya kuamka Mtu Mmoja kashiba zake mseto wa choroko na kuanza kubeza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…