Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

Umetoa hoja nyepesi!
Katika Agano Jipya Taifa Teule ni Kanisa la Mungu ulimwenguni,ndiyo Taifa Takatifu,(1Petro2:9-10),(Ufunuo1:5-6)
Liombee Kanisa la Mungu ulimwengu,alilinde na azidi kulitakasa.
Ombea Amani kote duniani! Israel na Palestina,Congo,Syria,Somalia,Ukraine na Russia,nk
Mwombe Mungu kwa ajili ya Taifa lako la Tanzania kama wewe ni Mtanzania,1Timotheo2:1-2
 
MUNGU KUNA WAKATI ANAKUWA MNAFIKI SANA,MARA AFICHE HIKI MARA KILE.SASA SIJUI NI YEYE AU HAWA WAJIPACHIKAO UNABII.maana taifa lake linatumia risasi mbaya halijiamini na halimuamini hata YEYE.
 
Vutulo. 🤣
 
Kwann allah aumbe nguruwe halafu muhamad kisa yy hakuwa na uwezo wa kumiliki akukataze ww kula
 
Reactions: 511
Kaulimbiu ya uyahudi ili kuitawala dunia kiimani.Watu wakiwajua wazungu watajua Siri na unafiki wao pia.
 
Usiseme mataifa sema afrika, maana base ya ukristo imebaki kua afrika tu, huko wazungu hadi mapadri sahivi wanakosa wanakuja kuchukua wa huku, Afrika ndo sehemu pekee ambapo ukristo ndo umebaki kua na nguvu huko kote unakufa hata ulipotokea, na sababu kubwa huku watu wanathamini vya wageni hasa imani kuliko vya kwao, maeneo mengine ya dunia watu wanarudi kwenye asili zao hata hao wazungu
 
Level ya ujinga aliyonao mtoa mada ni ya kusikitisha
 
Acha bangi allah si Mungu
Na kuwaita wayahudi mayahudi inaonyesha wazi una chuki nao na hiyo chuki umelishwa toka kwenye satan verse inayo itwa quran tukutu.
 
Reactions: 511
Tatizo nyinyi wakristo mnajichanganya wenyewe Kwanza kabisa Mungu hafahamu kuhusu taifa la Israel. Mungu anawafahamu wana wa Israel ambapo ni wana wa Yakubu waliogawanyika katika makabila 12, wanaisrael ndio ni kweli waliahidiwa ardhi na waamrishwa waipiganie wakamwambia Musa hawawezi kuingia katika ardhi kuna watu wenye nguvu wamo hivyo Musa na Mungu wake ndio waipiganie hio ardhi sio wao

Pale wakalaniwa Mungu ndio adhabu ikatoka ya kuranda nyikani kwa miaka 40. Huwezi kula keki yako na bado ukaendelea kuwa nayo matendo yao ndio yaliyo wafanya walaaniwe, kama kuabudu ndama na kuuua mitume wa Mwenyezi Mungu.
Japo wapo wayahudi wema katika yale makabila 12 ambao wanamwamini Mungu mmoja.

Uvamizi wa ardhi kwa mara nyingine huo umefanywa na Zionist Ile sect ya uyahudi iliyoasi na yenye laana ya Mwenyezi Mungu ambao ndio wanafanya uharibifu na ufisadi kinyume na maagizo ya Allah na ndio wajiundia taifa lao wanaliita Israel ndio kundi lililo shikilia uovu na kukufuru toka kipindi cha nabii Sulemani na wanamiliki makundi yenye nguvu kama fremason, iluminati bone and skul etc

Wao ni uovu tu hakuna jema wanalofikiri dhidi ya binadamu na kwa kuchunguza imegundulika na wafanya mambo ya kishenzi hadi dhulma kwa maiti ya kutumia viungo na uchafu mwingine mwingi uasherati na kuweka makao makuu ya ushoga tel aviv. ..

Ref Quran 5;19-78
 
Tokea lini Mungu akawapenda Mashoga?

Ni Taifa teule la Marekani sio la Mungu
 
Huna akili hata chembe. Na hujui hata ulisemalo. Uongo unaoandika hapa ni ule ulidanganywa na mood. Hakuna myahudi anaitwa yakubu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…