Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

Huna akili hata chembe. Na hujui hata ulisemalo. Uongo unaoandika hapa ni ule ulidanganywa na mood. Hakuna myahudi anaitwa yakubu.

View attachment 2982370
Ok hapo mimi nabishana kwa hoja na kitabu ila ndio hivyo ikubali ukatae wayahudi wana toka kizazi cha Abraham, kuja Kwa Isack kamzaa Jacob, ndio watoto 12 wa Jacob leta Aya na maandiko sio uengee kwa matamanio yako
 
Kwani post yangu Ina uhusiano na dini yoyote?

Kwanini wewe unaingiza mambo ya dini?

Kwani waisrael ni wagalatia wenzanko?
Mimi ukitaka kunielewa usiniweke upande wa udini.
Mimi nakosoa dini zote hata yangu pale mtu anapotumia imani yake kukejeri ya mwingine. Nimekujibu hiyo post kwa kuwaita hao wayahudi mashoga.

Ushoga ni tabia ya mtu binafsi, hata Arabia wapo, kuita jamii nyingine mashoga kama vile jamii yote ni mashoga ni ujuha.
 
Ok hapo mimi nabishana kwa hoja na kitabu ila ndio hivyo ikubali ukatae wayahudi wana toka kizazi cha Abraham, kuja Kwa Isack kamzaa Jacob, ndio watoto 12 wa Jacob leta Aya na maandiko sio uengee kwa matamanio yako
Nimekwambia hakuna myabudi anaitwa yakubu.
 
NA support Israel sio kwa sababu ya dini ila ni kwa sababu anapambana na magaidi yaliyoua raia wasokua na hatia Watanzania wenzetu Joshua na Mollel.
Rip
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Mimi ukitaka kunielewa usiniweke upande wa udini.
Mimi nakosoa dini zote hata yangu pale mtu anapotumia imani yake kukejeri ya mwingine. Nimekujibu hiyo post kwa kuwaita hao wayahudi mashoga.

Ushoga ni tabia ya mtu binafsi, hata Arabia wapo, kuita jamii nyingine mashoga kama vile jamii yote ni mashoga ni ujuha.
Nimekuliza kwanini umeingiza udini wakati post yangu haihusiani na udini?

Kwanini usiniatack kama Tanzania maana labda wewe ni Muisrael hivyo unawatetea mashoga wenzanko

Je! Wewe unapinga kuwa nchi ya Israel na serikali yake haisapoti ushoga?
 
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
Umepigaje hapo?
 
Sio Israel hii ya sasa ya mazayuni hawa mafreemasoni na mashoga. Ni Israel ya kale
Wapo Mungu alisema taifa la Israel litafutika.?
Katika baraka alizomuapia Ibrahim akazirejea kwa Isaka na Yakobo alisema uzao wako utakuwa kama mchanga wa pwani, kama nyota za mbinguni. Halafu kuna watu mnajidanganya kuwa sio hawa waisrael wa sasa! Tuonyesheni basi hao waisrael wenyewe wako wapi.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Nimekuliza kwanini umeingiza udini wakati post yangu haihusiani na udini?

Kwanini usiniatack kama Tanzania maana labda wewe ni Muisrael hivyo unawatetea mashoga wenzanko

Je! Wewe unapinga kuwa nchi ya Israel na serikali yake haisapoti ushoga?
End of discussion.
Screenshot_20240408-165947~2.png
 
Nimekwambia hakuna myabudi anaitwa yakubu.
Nimekwambia sisi tunamwita Yakub. Nyie mnaita Jacob. Lakini msingi ni ule ule anatoka katika familia ipi? Anyway nimishia hapa siwezi wew hauko kihoja alamsik!
 
Kuna wayahudi wa maana sana ambao sio mazayuni na watauona ufalme wa Mungu na wananpiga ushenzi na ufisadi unaoendelea wa mazayuni na wao wako tayari kuishi na waislam kwa amani bila bughdha kwasababu wanamwamini mwenyezi Mungu wa kweli hao ndio ahl kitabu...
 
Nimekwambia sisi tunamwita Yakub. Nyie mnaita Jacob. Lakini msingi ni ule ule anatoka katika familia ipi? Anyway nimishia hapa siwezi wew hauko kihoja alamsik!
Nyinyi mnaemuita yakubu ndio mmejipendekeza kwao.
Mmekopi toka kwao, halafu mnajifanya kuwachukia. Bila wao hicho kitabu chenu kingekuwepo?

Huna hoja yoyote, wewe ni maamuma tu wa imani.
 
Kuna wayahudi wa maana sana ambao sio mazayuni na watauona ufalme wa Mungu na wananpiga ushenzi na ufisadi unaoendelea wa mazayuni na wao wako tayari kuishi na waislam kwa amani bila bughdha kwasababu wanamwamini mwenyezi Mungu wa kweli hao ndio ahl kitabu...
Umekuwa mgawa nafasi za kuuona Ufalme 😁😁
Hakuna myahudi wanamwamini allah. Allah ni mungu wa kipagani
Screenshot_20240421-235848~2.png
 
Nyinyi mnaemuita yakubu ndio mmejipendekeza kwao.
Mmekopi toka kwao, halafu mnajifanya kuwachukia. Bila wao hicho kitabu chenu kingekuwepo?

Huna hoja yoyote, wewe ni maamuma tu wa imani.
Hakuna Muislam timamu anaemchukia myahudi hao ni wenzetu katika imani shida yetu sisi ni Zionist na sio wayahudi wote ni Zionist. Elewa Hilo
 
Back
Top Bottom