Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

Quran 5:69 wahahudi, wakristo wanaingia peponi mimi

naamini dini yangu inachonifundisha kitabu changu nachokiamini hakina shaka quran 2;2
Hakuna anaekukataza kuamini unachofundishwa na kuamini.
Nakataa kujaribu kuongelea imani zingine na kuwaona hawana wanachoamini kwa kuwa hawako upande wenu. Uislam umekuja na kukuta kuna imani zingine, why muanzishe fujo kwa kujifanya dini ya kweli?

Au kama kweli ni dini ya kweli kwa nini mlazimishe kutisha na kuua wasiokubaliana na dini yenu?
Ulishasikia Judaism wanaua Wakristo au waislamu kisa hawamwamini Mungu wao?
Wakristo wanaua waisalamu au Judaism kisa wanamkana Yesu?

Nafikiri mngeanza kwa kuwaheshimu mliowakuta na imani zao, kusingekuwa na shida. Tatizo ni pale mnapotaka kujiona wakubwa kiimani kuliko wengine.
 
Naskia Israel nao wanaipenda sana Tanzania. 😁 😁
 
Hakuna Muislam timamu anaemchukia myahudi hao ni wenzetu katika imani shida yetu sisi ni Zionist na sio wayahudi wote ni Zionist. Elewa Hilo
Yawezekana basi huijui dini yako maana allah wako ndie kakuagiza kupitia kwa mtume wake. Bora leo umenithibitishia kuwa Allah na mtume wake ni waislamu wasio na akili. Ila wewe uliefata mafundusho yao ndie mwenye akili.
  • Allah is an enemy to unbelievers. - Sura 2:98
  • Fight against them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme. (different translation: ) Fight them until there is no persecution and the religion is God's entirely. - Sura 2:193 and 8:39
  • Make war on them until idolatry is no more and Allah's religion reigns supreme - 8:39
  • Fight unbelievers who are near to you. 9:123
 
Wewe ndio kichwa kibovu aya hapo inazungumzia unbelievers. Je wayahudi wote ni unbelievers? Au wakristo wote ni unbelievers? Sisi hatuna shida na believers ndio maana nikakwambia wewe umekwama na unasapport Zionist movement hongera kwa hilo. Dini yangu nimeambiwa ndio ya Mungu anaitaka quran 3;85 sasa kwanini nisijivunie? Sisi hatuna tabu na nyie ila mradi mnamuamini Mungu mmmoja
 
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
Hujapata soma ya kwamba hata Yesu alisema ufalme utaondolewa (Israel) na kupewa taifa lingine.

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Sasa aliyosema Yesu miaka 2000 iliyopita imeshatimia ufalme wa Muumba haupo tena Israel.Bali limebaki kuwa taifa mwana, yani walipofikia waliotumwa akiwamo Yesu.

Sasa Tanzania ndilo Taifa Baba lililokusudiwa tangu Chanzo.Israel lilikuwa taifa teule majira saba ya kanisa ambazo zimeshapita.
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Masikini.
Unbeliever ni mtu asieamini. Myahudi haamini allah na mkristo haamini allah.
Kama unabisha lete ushahidi wa maandiko kama unao, utuonyesha kuwa wanamwamini allah. We don't even know him/her.
Kama wayahudi ni Zionist, basi na waislam ni terrorist.
Mungu ni yule yule ewe mhyahudi. Alafu Mungu aliwaahidi wayahudi ardhi ambayo waliikataa kama nilivoanisha hapo juu hakuwaahidi taifa sasa na waislam wote tukisema twende Makkah ndio maeneo yetu au kila dini imijivisha utaifa na kwenda kuvamia hivi dunia itakalika? Tumia logic usispoti tu uhuni kisa walijinasibisha na maandiko nyie mnaunga tu

Kama unataka ushahidi wa maandiko 19:30 Yesu mwenyewe anasema ni Abdullah waislam wote ni abdllah waja wamwenyezi Mungu
 
Unasoma maandiko kuelewa au unasoma kama gazeti tu?
Je una maanisha Yesu alikuja kutengua ahadi za Mungu kwa watu wake akaleta mpya?

Matayo 21:43-45
Neno: Bibilia Takatifu
43 Kwa hiyo ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na watapewa watu wawezao kutoa matunda yake.” [ 44 “Na ambaye ataanguka kwenye jiwe hili atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagika sagika.”]

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia mifano yake, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.

Yesu anawalinganisha viongozi wa kidini wa Israeli na wapangaji , akisema ufalme wa Mungu utachukuliwa kutoka kwao . Yesu anajitambulisha katika zaburi kuhusu jiwe lililokataliwa na wajenzi lakini lililochaguliwa na Bwana kuwa jiwe kuu la pembeni. Wote wanaomkataa wataanguka kwenye jiwe la pembeni au litawaangukia na kuwaponda. Hakumaanisha Ufalme kuondolewa katika Taifa la Israeli.
Mstari huo unakukataa ukisoma kuanzia

Mathayo 21:33-43 alimaanisha kila nabii na mtume aliyekuwa anatumwa kwao walimkataa hata yeye walimkataa ndo maana akasema ufalme utapewa taifa lingine sio watu wengine.

43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Hayo yanayoendelea mashariki ya kati sio bahati mbaya,maana dunia ilikuwa inataka kutimiza vita ya harmagedoni ufunuo 16:16(vita ya 3 ya dunia) kwa kutumia dini ndo maana wengi wanashabikia (ukristo & uislam) ila muumba alishaifuta.
 
Unasoma maandiko kuelewa au unasoma kama gazeti tu?
Je una maanisha Yesu alikuja kutengua ahadi za Mungu kwa watu wake akaleta mpya?

Matayo 21:43-45
Neno: Bibilia Takatifu
43 Kwa hiyo ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na watapewa watu wawezao kutoa matunda yake.” [ 44 “Na ambaye ataanguka kwenye jiwe hili atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagika sagika.”]

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia mifano yake, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.

Yesu anawalinganisha viongozi wa kidini wa Israeli na wapangaji , akisema ufalme wa Mungu utachukuliwa kutoka kwao . Yesu anajitambulisha katika zaburi kuhusu jiwe lililokataliwa na wajenzi lakini lililochaguliwa na Bwana kuwa jiwe kuu la pembeni. Wote wanaomkataa wataanguka kwenye jiwe la pembeni au litawaangukia na kuwaponda. Hakumaanisha Ufalme kuondolewa katika Taifa la Israeli.
Yesu mwenyewe aliwaambia wayahudi mnaabudu msichokijua (Yohana 4:22) na hakuwaambia kwann kasema ivyo ndivyo ilivyo hata sasa wengi wanaabudu wasichokijua.
 
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
Ooh Haleluya!
 
Hapo mmepigwa hamna taifa teule mi naamini hivyo hilo taifa wameunda wahuni karne ya 19 hio ni Zionist .movement ya watu na ukitaka kujua hilo wayahudi wengi wanapinga hio annex inayofanywa na uharibifu na uonevu
 
Mungu si yule yule.
Allah ni muungu wa wakureshi wapagani, hawezi kuwa Mungu.
Wapi Mungu aliahidi ardhi wakaikataa? Lete andiko hapa yasiwe maneno matupu.
Wakati anawaahidi ardhi walikuwa kama nani?

Hakuna kitabu kinaitwa maandiko 19:30, utakuwa umechanganyikiwa.
Yesu gani alisema hayo ili hali quran haina yesu una isa? Na babae twamjua
Mungu wa Ibrahim na Musa na Yesu ndio huyo huyo Mungu wetu sisi utake ni hivyo ukatae ni hivyo

Quran 87:19 Mungu wa Ibrahim na Musa

Kuhusu kukataa Ardhi jisomee mwenyewe Quran 5:19-25
 
Sio kosa lako dini imeenda kutafuna ubongo wako ,pole sana mkuu.
 
Mradi mtoto yupo inatosha hata kama hamna kitu ataendeleza mradi wa ng'ombe
 
Pole Peaky umekula ban maana ulikua unaandika kama umekatwa kichwa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Ni bora muda mwingine kukaa kimya kuliko kuongea mambo usiyoyajua
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
IMG_20240618_172510.jpg
 
Jitu jeusi tiiiii nalo linajipendekeza kwa jambazi myahudi hana tofauti na maamuma wa mudi
 
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.

Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.

Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa

Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.

Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.

Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.

Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.

Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa

Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
Mungu wa Israel ni US
 
Back
Top Bottom