Ok hapo mimi nabishana kwa hoja na kitabu ila ndio hivyo ikubali ukatae wayahudi wana toka kizazi cha Abraham, kuja Kwa Isack kamzaa Jacob, ndio watoto 12 wa Jacob leta Aya na maandiko sio uengee kwa matamanio yakoHuna akili hata chembe. Na hujui hata ulisemalo. Uongo unaoandika hapa ni ule ulidanganywa na mood. Hakuna myahudi anaitwa yakubu.
View attachment 2982370
Mimi ukitaka kunielewa usiniweke upande wa udini.Kwani post yangu Ina uhusiano na dini yoyote?
Kwanini wewe unaingiza mambo ya dini?
Kwani waisrael ni wagalatia wenzanko?
Nimekwambia hakuna myabudi anaitwa yakubu.Ok hapo mimi nabishana kwa hoja na kitabu ila ndio hivyo ikubali ukatae wayahudi wana toka kizazi cha Abraham, kuja Kwa Isack kamzaa Jacob, ndio watoto 12 wa Jacob leta Aya na maandiko sio uengee kwa matamanio yako
Nimekuliza kwanini umeingiza udini wakati post yangu haihusiani na udini?Mimi ukitaka kunielewa usiniweke upande wa udini.
Mimi nakosoa dini zote hata yangu pale mtu anapotumia imani yake kukejeri ya mwingine. Nimekujibu hiyo post kwa kuwaita hao wayahudi mashoga.
Ushoga ni tabia ya mtu binafsi, hata Arabia wapo, kuita jamii nyingine mashoga kama vile jamii yote ni mashoga ni ujuha.
Umepigaje hapo?Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana.
Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa
Pamoja na hayo yote, Israel Kama taifa, limefichwa habari za Yesu Kristo na Mungu Mwenyewe. Hayo yote yameelezwa kwenye Biblia waziwazi.
Hapo mbele kidogo wa Israel watabadilika na kumkiri Yesu.
Sasahivi habari za Yesu tumefunuliwa mataifa mengine ndiyo maana Yesu anahubiriwa kwetu.
Shetani analijuwa hilo kwamba wa Israel watamkiri Yesu ndiyo maana anataka kuliangamiza. Shetani anatumia viongozi mbali mbali kutaka kuliangamiza taifa la Israel.
Cha ajabu, Mungu analitumia taifa la Marekani kulilinda taifa la Israel. Ndiyo maana Mungu analibariki Sana taifa la Marekani. Lina nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi.
Ukiwa unashiriki kuliombea taifa la Israel, unafanya kazi ya Mungu. Utabarikiwa
Na hayo ndiyo maagizo ya Mungu. Tuacheni na Israel Yetu. Ni Mambo ya ndani, sio rahisi mukaelewa
Wapo Mungu alisema taifa la Israel litafutika.?Sio Israel hii ya sasa ya mazayuni hawa mafreemasoni na mashoga. Ni Israel ya kale
End of discussion.Nimekuliza kwanini umeingiza udini wakati post yangu haihusiani na udini?
Kwanini usiniatack kama Tanzania maana labda wewe ni Muisrael hivyo unawatetea mashoga wenzanko
Je! Wewe unapinga kuwa nchi ya Israel na serikali yake haisapoti ushoga?
Mishoga wenzanko hiyo hapoEnd of discussion.
View attachment 2982433
Mishoga wenzanko
Mishoga wenzanko hiyo hapo
Nimekwambia sisi tunamwita Yakub. Nyie mnaita Jacob. Lakini msingi ni ule ule anatoka katika familia ipi? Anyway nimishia hapa siwezi wew hauko kihoja alamsik!Nimekwambia hakuna myabudi anaitwa yakubu.
Mishoga wenzanko mingine hiyo hapo
Nyinyi mnaemuita yakubu ndio mmejipendekeza kwao.Nimekwambia sisi tunamwita Yakub. Nyie mnaita Jacob. Lakini msingi ni ule ule anatoka katika familia ipi? Anyway nimishia hapa siwezi wew hauko kihoja alamsik!
Mishoga wenzanko mingine hiyo hapo
Umekuwa mgawa nafasi za kuuona Ufalme 😁😁Kuna wayahudi wa maana sana ambao sio mazayuni na watauona ufalme wa Mungu na wananpiga ushenzi na ufisadi unaoendelea wa mazayuni na wao wako tayari kuishi na waislam kwa amani bila bughdha kwasababu wanamwamini mwenyezi Mungu wa kweli hao ndio ahl kitabu...
Hakuna Muislam timamu anaemchukia myahudi hao ni wenzetu katika imani shida yetu sisi ni Zionist na sio wayahudi wote ni Zionist. Elewa HiloNyinyi mnaemuita yakubu ndio mmejipendekeza kwao.
Mmekopi toka kwao, halafu mnajifanya kuwachukia. Bila wao hicho kitabu chenu kingekuwepo?
Huna hoja yoyote, wewe ni maamuma tu wa imani.
Quran 5:69 wahahudi, wakristo wanaingia peponi mimiUmekuwa mgawa nafasi za kuuona Ufalme [emoji16][emoji16]
Hakuna myahudi wanamwamini allah. Allah ni mungu wa kipagani
View attachment 2982456
Nakazia.Wewe ni mtumwa wa kifikra. Baba yako aliuza ng'ombe akapeleka ng'ombe mwingine shuleni.