Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Naunga mikono hoja.
 
Angalienj chuki za vijana wako hata wewe ni mmoja wapo ,yule aliyemsema kwa mlengo wa dini na kudai kwamba kukubali kuolewa kama mke wa nne ni ujinga ,ni matusi zaidi.

Enyi wagalatia punguzeni chuki, hamkuwahi kumpenda muislamu mnashindwa tu kutangaza vita.

Tuko tayari kwa lolote !!
.
 
Mbona hata sijaelewa ulichoandika? Hivi hata wewe ukisoma unaweza kuelewa ulichokiandika na ujumbe unaotaka kuufikisha kwa wasomaji? Kweli wewe ni chizi maarifa kama lilivyo jina lako.
Chawa na mtu mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika huwezi kuelewa.
Akili zako ni ndogo sana kiasi kwamba zinakupa uwezo wa kupenda uchafu tu.
 
Achana na hayo matamko. Pata ardhi kwa kufuata Sheria ya Ardhi ya Tanzania na Kanuni zake.
 
Hivi huoni kwamba wewe ndio utaenda motoni Kwa kumchukia Rais bila sababu za msingi?

Narudia kukwambia hapa hakuna Rais yeyote hapa Tanzania Kwa waliopitwa ukimtoa Nyerere anaweza Mikoa Samia sio tuu Kwa utekelezwaji wa mambo Bali Maono.

Mfano mdogo tuu ni Maono yake kwenye swala la Elimu,bila utashi wake wa Kisiasa kinachoitwa mitaala mipya asingeruhusu.

Na mfano mwingine ni Maono yake kwenye Kilimo na Nishati safi 👇

Hata ungemchukia Samia Kwa kiwango Cha Kujiua lakini haiwezi kuondoa ukweli kwamba ameirudisha Taifa kwenye mstari.
 
Sikujua kuna watu wanatumia masabuli kufikiria kiasi hiki. Unaleta Dini. We una Dini? Mbwah tu wewe Dini umeletewa baada ya kutawaliwa ukaambiwa sasa ubadili na Dini ufuate ya Mabwana zako. Una akili hata kidogo ndo maana nimegundua kumbe nguruwe atakuwa ndugu yako ndo maana..... Wewe hujui hata Dini yangu unakimbilia kuzungumzia Dini....
 
Wewe utaenda motoni kwa unafiq. Tena motoni utakuwa kuni. Unamsemea uongo waziwazi kabisa tunakuona. Umejawa chuki mpaka unaanza kumsemea vibaya. Unamsingizia kuwa na maono huoni hata aibu.... Toka lini ana maono? Wewe utakuwa failure tu ndo maana hujielewi. Mwache samia ale nchi mpaka 2030 usimpe kazi ya kufikiria ukadhani ni rahisi kwa kila mtu.
 
Hata wewe hukuzaliwa shoga na chizi ni ujinga tu kichwani kwako...Mtu mjinga kama wewe hauna haki hata ya kuandika huku.

Kaandike kwa wajinga wenzio.
 
Halafu ungeficha upumbavu wako. Unasema kuwa yeye kukubali sijui nini ni nini.... Wewe una phd ya unafiq
 
Narudia kukwambia unaweza adhibiwa kabla na ukakoma kama Jiwe alivyoadhibiwa.

Mimi sio mjinga na Wala Huwa sitegei kuambiwa Bali nafuatiliaga mambo.

Narudia kukwambia Rais wa maana Tzn imepata baada ya Nyerere ni Samia.

Na mfano mzuri huu hapa 👇

View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=8dWgBxYoWO4Y3H2S
Nakupa onyo usimtaje Mungu kwenye ego na chuki zako binafsi Kwa Rais
 

Ni dhambi kubwa kusema Samiah ana maono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…