Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Narudia kukwambia unaweza adhibiwa kabla na ukakoma kama Jiwe alivyoadhibiwa.

Mimi sio mjinga na Wala Huwa sitegei kuambiwa Bali nafuatiliaga mambo.

Narudia kukwambia Rais wa maana Tzn imepata baada ya Nyerere ni Samia.

Na mfano mzuri huu hapa ๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=8dWgBxYoWO4Y3H2S

Nakupa onyo usimtaje Mungu kwenye ego na chuki zako binafsi Kwa Rais

Videos za upigaji kwako ndizo unajaza hapa.
 
Yafaa uwaulize hao watu kwamba ana maono gani??
Huenda pengine kweli ana maono.
Kumbuka, hata kubomoa nchi nako pia ni maono, ingawaje ni maono hasi.

"The problem of Africans, those with ideas have no power, and those with power have no ideas."
That is not the problem. The problem is Socratic. The philosophers don't like politics because it is too lowly and in so doing they let lowly people rule. We should ask some philosopher to volunteer and show the way like sometimes they do appear. No body knows when Tanzania shall have another chance!
 
Mkuu,samahani,hilo neno lako la mwisho ni jina langu la kwanza,litumie vizuri siyo hovyohovyo mpaka na chawa wapenda uchafu unawap kivumishi cha sifa kwakweli haipendezi.
Endelea kutumia mavideo yako. Yani chawa kaona round about ndio ananitumia kunishawishi kuwa Rais ana maono. Acheni unafiki.
 
Ifikie hatua jamii forums tujisajiri kwa majina halisia, inafikia hatua inakuwa kero.
 
Hivi huoni kwamba wewe ndio utaenda motoni Kwa kumchukia Rais bila sababu za msingi?

Narudia kukwambia hapa hakuna Rais yeyote hapa Tanzania Kwa waliopitwa ukimtoa Nyerere anaweza Mikoa Samia sio tuu Kwa utekelezwaji wa mambo Bali Maono.

Mfano mdogo tuu ni Maono yake kwenye swala la Elimu,bila utashi wake wa Kisiasa kinachoitwa mitaala mipya asingeruhusu.

Na mfano mwingine ni Maono yake kwenye Kilimo na Nishati safi [emoji116]

Hata ungemchukia Samia Kwa kiwango Cha Kujiua lakini haiwezi kuondoa ukweli kwamba ameirudisha Taifa kwenye mstari.
Mmmh duuh
 
Chawa mwenye njaa akitegemea teuzi. Ninyi huwa hamna akili kabisa
Nilijua tuu baada ya kukuaibisha na ground fact sheet lazima utanue goli ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ni hivi hakuna yeyote huko Chadomo anaweza mshinda Samia Kwa chochote Kwa sababu wanufaika na Samia wanatoa ushuhuda.

Wewe endelea kuropoka huko Chadomo hakuna kitu utabadili ,huu ni mwaka wa 4 anaingia mlisema hamalizi 3 mtakuwa mumempindua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1738117833760927785?t=tH5ZyMWrHg_lbzsHSXE-BA&s=19
 
Kati ya wewe na hao wanaomshukuru Rais kuwafungulia Barabara unadhani nani ni mpumbavu?
Wewe utakuwa mpumbavu. Tabora barabara zimetengenezwa lini? Nyie si huwa mnamshukuru hata mvua ikinyesha? Mbona tumeshawazoea chawa siku zote hamjiamini na mnajipendekeza kwa kila jambo mpaka mnadharaulika
 
Kuna mengi mnaweza msingizia Rais nikanyamaza. Nikasemehe. Lakini hili la kusema ana maono.... Hapana hapa mnamkosea sana.

Mlisema haijengi nchi, nchi haina uelekeo nikanyamaza. Nikasema anyway watu husema kile wanachoona wakifananisha na uzoefu wao. Mkasema anauza nchi nikanyamaza. Nikasema moyoni anyways.

Leo kweli kuna mtu anasema Samia ana Maono. Kweli tumefikia hatua hii akina Lucas mwashambwa ? Ninyie mnapaswa mnyongwe.... "

Akumulikaye mchana usiku atakuchoma moto"

Ninyi ni watu wabaya kabisa na mnatumia uhuru wa kuongea vibaya kumtukana Samia kuwa ana maono. Mnatumia uhuru huo kumsingizia kuwa ana maono. Mtaenda motoni kweli nawaambia.
We sijui kabila gani ? Maana sijaelewa unapoandika ....ana maono.... Au unamaanisha Hana maono..
 
Back
Top Bottom