Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Hivi huoni kwamba wewe ndio utaenda motoni Kwa kumchukia Rais bila sababu za msingi?

Narudia kukwambia hapa hakuna Rais yeyote hapa Tanzania Kwa waliopitwa ukimtoa Nyerere anaweza Mikoa Samia sio tuu Kwa utekelezwaji wa mambo Bali Maono.

Mfano mdogo tuu ni Maono yake kwenye swala la Elimu,bila utashi wake wa Kisiasa kinachoitwa mitaala mipya asingeruhusu.

Na mfano mwingine ni Maono yake kwenye Kilimo na Nishati safi 👇

Hata ungemchukia Samia Kwa kiwango Cha Kujiua lakini haiwezi kuondoa ukweli kwamba ameirudisha Taifa kwenye mstari.

Acheni kumtukana Rais hamuelewi?. Kumtukana Rais ni uhaini. Kuendelea kusema Rais ana maono ni tusi na kejeli inatakiwa ukamatwe.
 
Dah mi nikawaza mauno dah! Hii kukurupuka kusoma mbaya sana.
 
Back
Top Bottom