Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Mbona hata sijaelewa ulichoandika? Hivi hata wewe ukisoma unaweza kuelewa ulichokiandika na ujumbe unaotaka kuufikisha kwa wasomaji? Kweli wewe ni chizi maarifa kama lilivyo jina lako.
Hehehe.
Ni halali kuja na zile nyuzi za kila siku kumsifia kizimkazi.
 
Mbona hata sijaelewa ulichoandika? Hivi hata wewe ukisoma unaweza kuelewa ulichokiandika na ujumbe unaotaka kuufikisha kwa wasomaji? Kweli wewe ni chizi maarifa kama lilivyo jina lako.
Utakuwa una ubongo wa kuku bila shaka. Mbona wenzako wameelewa!!
 
Safi Sana ....mama sada Hana maono Kwanza nafas yenyew kaipata kama bahati ya mtende

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
UNA HOJA USIKILIZWE!!
 
Hivi kama wewe hapo leo hii hapo upewe urais. Utafanya nini kwa nchi kama hii yenye mifumo iliyooza? Remember ukijifanya mjuaji sana you can get peacefully assassinated!
 
Umesema mauno au maono ....kama ni mauno anayo hata chikwete anajua
 
Yafaa uwaulize hao watu kwamba ana maono gani??
Huenda pengine kweli ana maono.
Kumbuka, hata kubomoa nchi nako pia ni maono, ingawaje ni maono hasi.

"The problem of Africans, those with ideas have no power, and those with power have no ideas."
Because people with big ideas don’t like politics !!
 
 
Uko tayari na nani,kufanya nini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Maono ndo kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…