Hata kama hamumpendi Rais Samia msifikie hatua hii

Videos za upigaji kwako ndizo unajaza hapa.
 
Yafaa uwaulize hao watu kwamba ana maono gani??
Huenda pengine kweli ana maono.
Kumbuka, hata kubomoa nchi nako pia ni maono, ingawaje ni maono hasi.

"The problem of Africans, those with ideas have no power, and those with power have no ideas."
That is not the problem. The problem is Socratic. The philosophers don't like politics because it is too lowly and in so doing they let lowly people rule. We should ask some philosopher to volunteer and show the way like sometimes they do appear. No body knows when Tanzania shall have another chance!
 
Mkuu,samahani,hilo neno lako la mwisho ni jina langu la kwanza,litumie vizuri siyo hovyohovyo mpaka na chawa wapenda uchafu unawap kivumishi cha sifa kwakweli haipendezi.
Endelea kutumia mavideo yako. Yani chawa kaona round about ndio ananitumia kunishawishi kuwa Rais ana maono. Acheni unafiki.
 
Ifikie hatua jamii forums tujisajiri kwa majina halisia, inafikia hatua inakuwa kero.
 
Mmmh duuh
 
Chawa mwenye njaa akitegemea teuzi. Ninyi huwa hamna akili kabisa
Nilijua tuu baada ya kukuaibisha na ground fact sheet lazima utanue goli 😁😁

Ni hivi hakuna yeyote huko Chadomo anaweza mshinda Samia Kwa chochote Kwa sababu wanufaika na Samia wanatoa ushuhuda.

Wewe endelea kuropoka huko Chadomo hakuna kitu utabadili ,huu ni mwaka wa 4 anaingia mlisema hamalizi 3 mtakuwa mumempindua 🀣🀣

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1738117833760927785?t=tH5ZyMWrHg_lbzsHSXE-BA&s=19
 
Kati ya wewe na hao wanaomshukuru Rais kuwafungulia Barabara unadhani nani ni mpumbavu?
Wewe utakuwa mpumbavu. Tabora barabara zimetengenezwa lini? Nyie si huwa mnamshukuru hata mvua ikinyesha? Mbona tumeshawazoea chawa siku zote hamjiamini na mnajipendekeza kwa kila jambo mpaka mnadharaulika
 
We sijui kabila gani ? Maana sijaelewa unapoandika ....ana maono.... Au unamaanisha Hana maono..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…