Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.
Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:
Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa “inalia kutoka ardhini” ikitaka haki. Kwa sababu hiyo, Mungu alimlaani Kaini kwamba:
- Ardhi isingemzalia tena mazao mema
- Atakuwa mtoro na mtu asiye na makazi duniani.
Kwa hivyo, hoja yangu ni kwamba Samia hata afurukute hivi, she’s an outcast, Mungu kamkataa na dunia imemkataa …. atakataliwa kutembelea mataifa mengi, atatengwa na hiyo imeanza mapema kuliko ilivyotarajiwa, atahukumiwa….atakula nyasi nyikani kama Nebukadneza, yeye na wanae na wakwe zake. Maana laana ya wazazi hupatiliza hata vitukuu.
Na yeye ni Mswahili mzuri pengine anaujua huu msemo japo unaumwa:
Asiyefunzwa na Mamaye hufunzwa na Ulimwengu
##