Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea.
Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya.
Sasa watu wengi wanasemwa vibaya, Kikwete, kwa mfano, anasemwa vibaya sana, kuficha wahalifu, ambao ndio wenyewe wanaliangamiza Taifa hili.
Tumeona pale Magufuli alipokuwa Rais, jambo la kwanza kabisa akaenda Benki Kuu. Tena akatembea tu kwa miguu, kwa sababu Benki Kuu ipo karibu sana na Ikulu.
Umeona jinsi alivyokuwa anaongea na watu wale wanamjibu with a lot of disdain.
Sasa imekuwaje leo hii watu wanaenda kupora hela Benki Kuu?
This is something which should be be discussed later.