JPM alikuwa mzalendo na mchapakazi sana, lakini pia hakuwa malaika, alikuwa fed wrong data za waajiriwa wa BOT akapewa na majina, yeye akamvaa Gavana na kumuuliza maswali kwa bullying, Gavana imara akagoma kuwa bullied, akamjibu rais hiyo ni issue ya HR, yeye hawezi kuwa nayo kichwani kujua who is who.
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.
View: https://youtu.be/4tZYjbBcaZw?si=EqLFdOtAWwlofQb5
Hii ilikuwa bullying and intimidation!
Kupora ni kuchukua kwa nguvu kitu ambacho sio chako, yaani kuiba kwa kukwapua, hakubai wizi wowote wa kupora au kukapua ulifanyika BOT, BOT ni yetu, fedha ni zetu, kilichofanyika ni kuchota tuu!.
Wale waliochota ambao hawakustahili, waliombwa warudishe, wakarudisha, walioshindwa walishitakiwa.
Nashauri JPM aachwe ajipumzikie!.
P