Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kwa kiwango wanachoiba hawa watu wanatakiwa kuwa walau wameshatengeneza upper class ya utajiri inayojitegemea.Mimi ningekuwa mtoto wako, halafu nikafikia ule umri wa kutambua wewe baba ulikuwa ni mtoto wa raisi aliekaa madarakani miaka zaidi ya 25, halafu huna kitu na unatusomesha st kayumba
Hapohapo heshima kwako kama baba ingepotea mazima....
Mbona Trion 1.5 zilizo Tajwa na CAG huzitaji?Wameiba EPA,wameiba ESCROW,tukasema " calm down everyone,wakulima ni wapole sana. Wakulima wamekwishawasamehe hawa wezi wote."
Lakini sasa mnataka kuiba zaidi .
Ingekuwa vizuri kama neno ' dharau' ungeliondia katika msamiati wako.Mimi ningekuwa mtoto wako, halafu nikafikia ule umri wa kutambua wewe baba ulikuwa ni mtoto wa raisi aliekaa madarakani miaka zaidi ya 25, halafu huna kitu na unatusomesha st kayumba
Hapohapo heshima kwako kama baba ingepotea mazima....
Kwa sababu sijazisikia. Unadhani mi nawafahamu wezi wote?Mbona Trion 1.5 zilizo Tajwa na CIG huzitaji?
Wanapita humu....Kwa kiwango wanachoiba hawa watu wanatakiwa kuwa matajiri.
Kwa kuzalisha kwenye uchumi, akili hizo hawana.
Matokeo yake hawawezi kuisha nje ya siasa hata waibe vipi hawajui kusaza.
Mwingine billion 10 kumi hata hizo siasa hataki tena na anaacha biashara ya maana kama mungu atampa miaka 20 ya kuishi.
Wakaboronge huko mbele watoto.
Hawa watu hawajui kuishi nje ya serikali.
Usijitoe ufahamu profesa Asad alifichua ufisadi wa trion 1.5 kwenye utawala wa magufuri badala apongezwe akafukuzwa kwa kejeli.Kwa sababu sijazisikia. Unadhani mi nawafahamu wezi wote?
Mbona hukasiriki kuzaliwa kwenye Nchi ya maziwa na asali lakini mpo masikini wa kutebeza bakuli!!Mimi ningekuwa mtoto wako, halafu nikafikia ule umri wa kutambua wewe baba ulikuwa ni mtoto wa raisi aliekaa madarakani miaka zaidi ya 25, halafu huna kitu na unatusomesha st kayumba
Hapohapo heshima kwako kama baba ingepotea mazima....
Unatokea pori gani?Mbona hukasiriki kuzaliwa kwenye Nchi ya maziwa na asali lakini mpo masikini wa kutebeza bakuli!!
Wewe ni boya tu nyamaza!!
Na Hilo linaweza kuwa tatizo linguine,kutaka kuiza nchi kwa Waarabu wakati Hawa spies ni MOSSAD trained.
Thus set your limits on the nonsense to defend.Wanapita humu....
Sloth:
is an excessive laziness or the failure to act and utilize one’s talents.
Pride:
is an excessive view of one's self without regard for others.
Greed
: is an excessive pursuit of material goods.
JPM alikuwa mzalendo na mchapakazi sana, lakini pia hakuwa malaika, alikuwa fed wrong data za waajiriwa wa BOT akapewa na majina, yeye akamvaa Gavana na kumuuliza maswali kwa bullying, Gavana imara akagoma kuwa bullied, akamjibu rais hiyo ni issue ya HR, yeye hawezi kuwa nayo kichwani kujua who is who. Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.Tumeona pale Magufuli alipokuwa Rais,jambo la kwanza kabisa akaenda Benki Kuu. Tena akatembea tu kwa miguu,kwa sababu Benki Kuu ipo karibu sana na Ikulu.
Umeona jinsi alivyokuwa anaongea na watu wale wanamjibu with a lot of disdain.
Kupora ni kuchukua kwa nguvu kitu ambacho sio chako, yaani kuiba kwa kukwapua, hakubai wizi wowote wa kupora au kukapua ulifanyika BOT, BOT ni yetu, fedha ni zetu, kilichofanyika ni kuchota tuu!.Sasa leo hii watu wanaenda kupora hela Benki Kuu?
This is something which should be be discussed later.
Bravo , Tawire, Umemaliza
Ungeweka hapa hiyo link ya Le Prof Assad ya 1.5b na Report zake kuhusu miradi ya NSSF ya Yule Kaka Yetu aliyepelekwa ubalozini Malaysia . Na Pili kama suala ni kumtaka Kiongozi wa Dini yetu hatuja chelewa, Tumuweke Assad , maana ana uelewa na Nia ya kuwa muadilifu, na sio kumtumikia shetaniUsijitoe ufahamu profesa Asad alifichua ufisadi wa trion 1.5 kwenye utawala wa magufuri badala apongezwe akafukuzwa kwa kejeli.