Sahihisho: Magufuli alitembea kwa mguu kwenda Wizara ya Fedha, siyo BOT kama unavyodaiWatu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio
Tumeona pale Magufuli alipokuwa Rais, jambo la kwanza kabisa akaenda Benki Kuu. Tena akatembea tu kwa miguu, kwa sababu Benki Kuu ipo karibu sana na Ikulu.
Umeona jinsi alivyokuwa anaongea na watu wale wanamjibu with a lot of disdain.
Akili kama zako enzi za Mwalimu Nyerere ilibidi unyongwe kabisaMimi ningekuwa mtoto wako, halafu nikafikia ule umri wa kutambua wewe baba ulikuwa ni mtoto wa raisi aliekaa madarakani miaka zaidi ya 25, halafu huna kitu na unatusomesha st kayumba
Hapohapo heshima kwako kama baba ingepotea mazima....
Wamesamehe au wamenyamaza tu?Wameiba EPA,wameiba ESCROW,tukasema " calm down everyone,wakulima ni wapole sana. Wakulima wamekwishawasamehe hawa wezi wote."
Lakini sasa mnataka kuiba zaidi .
Pascal acha undumila kuwili, achana na Magufuli, kama ongelea Utekaji, na kuua watu achana na MagufuliJPM alikuwa mzalendo na mchapakazi sana, lakini pia hakuwa malaika, alikuwa fed wrong data za waajiriwa wa BOT akapewa na majina, yeye akamvaa Gavana na kumuuliza maswali kwa bullying, Gavana imara akagoma kuwa bullied, akamjibu rais hiyo ni issue ya HR, yeye hawezi kuwa nayo kichwani kujua who is who. Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.
View: https://youtu.be/4tZYjbBcaZw?si=EqLFdOtAWwlofQb5Hii ilikuwa bullying and intimidation!
Kupora ni kuchukua kwa nguvu kitu ambacho sio chako, yaani kuiba kwa kukwapua, hakubai wizi wowote wa kupora au kukapua ulifanyika BOT, BOT ni yetu, fedha ni zetu, kilichofanyika ni kuchota tuu!.
Wale waliochota ambao hawakustahili, waliombwa warudishe, wakarudisha, walioshindwa walishitakiwa.
Nashauri JPM aachwe ajipumzikie!.
P
Ilani ya mchongoView attachment 3458267
ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).
Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.
Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
Unaandika hisia zako au? Acha kuandika uchafu unaouwaza kijiweniWatu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea.
Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya.
Sasa watu wengi wanasemwa vibaya, Kikwete, kwa mfano, anasemwa vibaya sana, kuficha wahalifu, ambao ndio wenyewe wanaliangamiza Taifa hili.
Tumeona pale Magufuli alipokuwa Rais, jambo la kwanza kabisa akaenda Benki Kuu. Tena akatembea tu kwa miguu, kwa sababu Benki Kuu ipo karibu sana na Ikulu.
Umeona jinsi alivyokuwa anaongea na watu wale wanamjibu with a lot of disdain.
Sasa imekuwaje leo hii watu wanaenda kupora hela Benki Kuu?
This is something which should be be discussed later.
Nyie wa kanisa katoliki ndo msiongee kabisaaa nyie si ndo mnopewa gawio na serikali huku Waislamu hatuna tunachopataWatu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki.
Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea.
Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya.
Sasa watu wengi wanasemwa vibaya, Kikwete, kwa mfano, anasemwa vibaya sana, kuficha wahalifu, ambao ndio wenyewe wanaliangamiza Taifa hili.
Tumeona pale Magufuli alipokuwa Rais, jambo la kwanza kabisa akaenda Benki Kuu. Tena akatembea tu kwa miguu, kwa sababu Benki Kuu ipo karibu sana na Ikulu.
Umeona jinsi alivyokuwa anaongea na watu wale wanamjibu with a lot of disdain.
Sasa imekuwaje leo hii watu wanaenda kupora hela Benki Kuu?
This is something which should be be discussed later.
Ndo tatizo la majizi, tunazungumzia wanaochota hela wakati huu, wewe unahalalisha kwa sababu kuna 1.5 t zilitajwa zamani.Mbona Trion 1.5 zilizo Tajwa na CAG huzitaji?
Mimi hapa nimeshiba abarikiwe sana mwislamu huyu
Gawio wanapewa kwa sababu taasisi zao zinazotoa huduma kwa jamii kama afya na elimu.Nyie wa kanisa katoliki ndo msiongee kabisaaa nyie si ndo mnopewa gawio na serikali huku Waislamu hatuna tunachopata
Nyie mlikuwa mnajenga madrasa serikali haitaki madrasa inataka shule na hospitali ikachukua za katoliki kwa mfumo wa MOU..Nyie wa kanisa katoliki ndo msiongee kabisaaa nyie si ndo mnopewa gawio na serikali huku Waislamu hatuna tunachopata
Usiongee ili kujifurahisha wakati ukweli unajulikanaNyie mlikuwa mnajenga madrasa serikali haitaki madrasa inataka shule na hospitali ikachukua za katoliki kwa mfumo wa MOU..
Usiongee usilolijua since 1992Gawio wanapewa kwa sababu taasisi zao zinazotoa huduma kwa jamii kama afya na elimu.
Kuna watu sio tuu ni maadui wa Mwenyezi Mungu, kuna wengine machoni ni kama watu lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!Kwanza hiyo posting nimeona asubuhi jinsi watu walivyoiba hela Benki Kuu imeondolewa JF.
Sasa Afande Mafwele atakuwa anazunguka mitaani kwa amani anawauliza watu,"Kwa nini wewe unaitukana Serikali katika posting zako katika mitandao is kijamii?"
Hawa watu ni maadui wa Mwenyezi Mungu.