Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
 
Wao upinzani strategies yao ni kuingia madarakani au kuitoa ccm na kukaa wao!

Engo wanayotumia ni kuwasadia wananchi wa kawaida kupata maendeleo, kwamba bila wao kuwapo madarakani maendeleo hayawezi kuja

Wakati fulani upinzani uliwahi kuwa na wabunge karibu 100 kwenye bunge lakini sio kwa wakati huo au wakati huu hayo maendeleo yamekua iwe kwenye taifa au sehemu za uwakilishi wao!
 
nyie ndo wale mnashinda mitandaoni kuabudu wanaume wenzenu, ili hali ndugu zenu wanaishi chini ya Dolla moja huko Bushi, na hakuna huduma za afya, maji ya shida, ila nyie mnacho jari ni kuwasifia wanaume wenzenu tu
 
mwanachi kama ww ndio ngumu kuelewa kwa kuwa kichwani mwako umejaza pumba tu
.
vitu vinapanda bei kwa kuwa katiba ni mbovu yani mtu mmoja namua tu kuongeza tozo n.k jambo linalopelekea mfumuko wa bei. ww huoni hiyo kuwa ndio chanzo kikuu unaona barabara tu ndo zamuhimu???
 
Maendeleo yapi hayo yamekuwa? Mbona mnakuwa wajinga kiwango cha kutisha? Yaani ujinga ni sehemu ya maisha yenu? Eti kwa sasa kuna maendeleo yapi?
 
Vyama vya upinzani vimepoteza ushawishi wanaweza kushindwa kwao kuanza kuwalalamikia wengine lakini ukija kuangalia kwa ndani wao wenyewe ndio source ya kushindwa kwao
 
Maendeleo yapi hayo yamekuwa? Mbona mnakuwa wajinga kiwango cha kutisha? Yaani ujinga ni sehemu ya maisha yenu? Eti kwa sasa kuna maendeleo yapi?
Naomba urudue tena kusoma comment yangu ndugu!
 
nyie ndo wale mnashinda mitandaoni kuabudu wanaume wenzenu, ili hali ndugu zenu wanaishi chini ya Dolla moja huko Bushi, na hakuna huduma za afya, maji ya shida, ila nyie mnacho jari ni kuwasifia wanaume wenzenu tu
Kwa hiyo wewe unadhani chadema wakipewa madaraka utaishi juu ya dollar moja Kwa siku Kwa mkakati upo na Kwa watendaji wapi? Hawa Hawa walioshindwa kuikuza chadema Toka wabunge 100++ Hadi mbunge mmoja?
 
mwanachi kama ww ndio ngumu kuelewa kwa kuwa kichwani mwako umejaza pumba tu
.
vitu vinapanda bei kwa kuwa katiba ni mbovu yani mtu mmoja namua tu kuongeza tozo n.k jambo linalopelekea mfumuko wa bei. ww huoni hiyo kuwa ndio chanzo kikuu unaona barabara tu ndo zamuhimu???
Nipe mfano wa nchi ambayo imeepuka mfumuko wa bei Kwa sababu ya katiba nzuri. Tatizo ni kukaririshwa mambo hata kama una katiba nzuri kiasi gani lakini maono ya kiongozi ni muhimu sana ili kurekebisha hali, ndiyo maana chadema pamoja na kuwa na katiba nzuri lkn kamwe hawawezi kubali kumwacha mbowe atoke kwenye kile kiti kirahisi, Kwa sababu wanaamini maono yake yanaibeba chadema mbali ya katiba.

Katiba nzuri haipangi bei ya vitu sokoni wala haitimizi mawazo ya kila mtu
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
Hakujawahi kuwepo chama cha upinzani Tanzania, ila nijuavyo mie kuna vikundi vya wajanja janja fulani hujipachika majina kama "wazalendo, Chama kikuu cha upinzani, c yu f nk

Ila kiukweli huwa sio wapinzani bali ni watu wenye njaa zao na wanahongeka kirahisi sana
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
Nani wa kuchagua makanjanja wa upinzani Tanzania hii.
 
Umechanganya mambo mawili hapa.

- Uungwaji mkono wa upinzani na

- Uoga wa watanzania.

Kigezo ulichotumia kusema kwamba wapinzani hawana watu wa kutosha kwasababu kwa mtazamo wako mbona watu hao kama wapo huwa hawawasaidii wapinzani kuingia ikulu, sio valid.

Watu wapo wanaowaunga mkono wapinzani, ndio maana uchaguzi wa 2020 ulifanyika mchezo wa ajabu ili kuwanyima wapinzani haki yao ya ushindi, CCM waliogopa nguvu ya upinzani na hiyo nguvu ni watu, ndio maana huwatumia polisi, tume ya uchaguzi ili walazimishe ushindi.

Kinachowafanya wapinzani wasiingie ikulu licha ya nguvu kubwa ya uungwaji mkono waliyonayo ni uoga wa wale wanaowasapoti.

Nikikumbuka vile Lissu aliwaambia CCM kama mkiniibia kura nitawaambia watu wangu waingie barabarani, kilichotakiwa kufuatia pale ni kitendo toka kwa wafuasi wake kuingia barabarani baada ya ule uchafuzi.

Lakini waliogopa kauli ya Sirro kwamba wakiingia barabarani watavunjwa miguu, nani yupo tayari kuacha kuihudumia familia yake akavunjwe miguu na polisi?! [japo hii mindset lazima ibadilike ili mabadiliko ya kweli yaje Tanzania].

Sasa kwa hali hii unaposema wapinzani hawana watu ndio maana hawaendi ikulu ni uongo, watu wanao ndio maana wanaogopwa na CCM, lakini tatizo watu hao waliopo pia wanawaogopa polisi.
 
KATIBA MPYA kwanza mengine baadae
Hiyo katiba mpya unaipataje katika mazingira ambayo ccm inacontrol kila kitu? Ndiyo maana mwaka 2010 slaa alisema baada ya kushinda urais atatumia siku mia za mwanzo kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba.

Kwa sababu Kwa dunia ilivyo mchakato wa mabadiliko ya katiba unamnufaisha mwenye nguvu ndio maana katika mchakato wa awali hata baada ya ukawa kususa bado waliobakia akidi ilikuwa inawatosha kupitisha kitu linaitwa katiba pendekezwa.

Ili usababishe mabadiliko ya maana ya katiba lazima uje na vuguvugu la umma lenye kutia shinikizo kubwa Kwa watawala kuwalazimisha watende Kwa matakwa ya hilo vuguvugu lkn Kwa hali ilivyo sasa ukitengeneza katiba bado itakuwa na vipengele vya kuibeba ccm kama ilivyo ya mwaka 77 kwani mazingira ya uandikaji wake hauna tofauti na ya wakati huo ambao ccm ilikuwa imeshika haramu zote.
 
Umechanganya mambo mawili hapa.

- Uungwaji mkono wa upinzani na

- Uoga wa watanzania.

Kigezo ulichotumia kusema kwamba wapinzani hawana watu wa kutosha kwasababu kwa mtazamo wako mbona watu hao kama wapo huwa hawawasaidii wapinzani kuingia ikulu, sio valid.

Watu wapo wanaowaunga mkono wapinzani, ndio maana uchaguzi wa 2020 ulifanyika mchezo wa ajabu ili kuwanyima wapinzani haki yao ya ushindi, CCM waliogopa nguvu ya upinzani na hiyo nguvu ni watu, ndio maana huwatumia polisi, tume ya uchaguzi ili walazimishe ushindi.

Kinachowafanya wapinzani wasiingie ikulu licha ya nguvu kubwa ya uungwaji mkono waliyonayo ni uoga wa wale wanaowasapoti.

Nikikumbuka vile Lissu aliwaambia CCM kama mkiniibia kura nitawaambia watu wangu waingie barabarani, kilichotakiwa kufuatia pale ni kitendo toka kwa wafuasi wake kuingia barabarani baada ya ule uchafuzi.

Lakini waliogopa kauli ya Sirro kwamba wakiingia barabarani watavunjwa miguu, nani yupo tayari kuacha kuihudumia familia yake akavunjwe miguu na polisi?! [japo hii mindset lazima ibadilike ili mabadiliko ya kweli yaje Tanzania].

Sasa kwa hali hii unaposema wapinzani hawana watu ndio maana hawaendi ikulu ni uongo, watu wanao ndio maana wanaogopwa na CCM, lakini tatizo watu hao waliopo pia wanawaogopa polisi.
Sijasema waungaji mkono hawapo ninachosema ni kwamba hakuna upinzani wa kutosha kuleta kashkash Kwa sababu matendo ya viongozi wa upinzani yamechangia sana kuwavunja moyo waungaji mkono wa upinzani.

Matendo kama kuchukua wagombea toka ccm wapinzani walioaminiwa kuenda ccm kirahisi tu hii imewafanya raia wa kawaida walio wengi kuona ni kama upinzani ni kiini macho tu hakuna haja ya kuwa serious nao.

Kwani unaweza ukajitoa kumpigania mtu Kwa nguvu kiwango Cha kuhatarisha maisha yako lkn kufumba na kufumbua unakuta kateuliwa ukuuu wa wilaya huko ccm , au umepambana kwaajili ya mtu ghafla anatofautiana na mwenyekiti anafukuzwa uanachama bila vikao halali huku akiwa anapendwa bado.

Jambo lingine ni kwamba viongozi wa wapinzani wanawakamia sana watu wao hata Kwa makosa madogomadogo tu mtu anafukuzwa. haya yote yanafanya upinzani uonekane hauko serious kiviile
 
Kwa hiyo wewe unadhani chadema wakipewa madaraka utaishi juu ya dollar moja Kwa siku Kwa mkakati upo na Kwa watendaji wapi? Hawa Hawa walioshindwa kuikuza chadema Toka wabunge 100++ Hadi mbunge mmoja?
Akikujibu nitag
 
Unataka kusema tungekua tumeendelea kama Amerika nchi isingekua na uchaguzi.Uchaguzi ni zaidi ya vitu na miundombinu ndo maana hata marekani kwenye huduma bora zakijamii bado vyama vinabadilishana hatamu za uongozi na kampeni wanapiga.

Sasa kama unafikiri ni miaka yote utaongelea kujenga barabara utakua uko nyuma ya wakati.Ata hivyo nafasi zakusimamia uchaguzi sio kumweka fulani ili ajipendelee au ampendelee mtu bali kusimamia haki ili wananchi wachague kwakilishi wao kwa haki.Kwahiyo anaweza akaa mbowe kwenye hiyo nafasi na bado akashindwa kwasababu atasimamia haki.

Nyie majizi ya kura ndo mnaowaza kujipendelea na kupora haki za wananchi kwakuweka viongozi mnaowataka. Vyama vya upinzani lazima vijikite kwenye agenda ya katiba mpya kwasababu ndo agenda pekee itakayobadilisha hali za wananchi kwenye nyanja nyingi kuliko kuongelea shida za wananchi moja moja ambazo kamwe haziwezi kuisha kwenye aina ya mfumo wa uongozi uliopo hivi sasa.
 
mazezeta ya ccm yaliyozoea kulamba asali yamepata sonona baada ya kuwekwa uchi na uchaguz wa kenya na bado ule upuuz wa 2020 utawatesa mpaka mnakufa.
Jibu hoja baba kuna maandalizi gani ya maana kuikabili ccm? Sio Kila anayekosoa upinzani ni mwanaccm
 
Back
Top Bottom