Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

Chadema inaitwa Chama Cha maendeleo ni maendeleo yapi labda? Mimi nilidhani labda maendeleo ya kujenga nchi?
 
Unaliambia sikio la kufa litakuelewa kweli!
 
CDM hata wakipewa hizi nyadhifa ni kweli Hawana guarantee ya kushinda uchaguzi kwa sababu SIYO MAJIZI YA KURA.
Kwa hiyo kama hawana uwezo wa kuiba kura wana mkakati gani kuhakikisha wanaingia ikulu au ndo wamejiandaa kutuletea ngonjera za kuibiwa kura?
 
Kwa hiyo wewe unadhani chadema wakipewa madaraka utaishi juu ya dollar moja Kwa siku Kwa mkakati upo na Kwa watendaji wapi? Hawa Hawa walioshindwa kuikuza chadema Toka wabunge 100++ Hadi mbunge mmoja?
Dikteta Magufuli ndiye aliyewapa Chadema mbunge moja na sio wananchi ila Mungu amelipa hiyo dhuluma yake.
 
Rubbish
 
Hatuipendi ccm pia hatuwachukii wapinzani wamefanya kazi kubwa wamehatariisha maisha Yao, wamefungwa , wamepigwa risasi,

Alafu ngedere moja inaandima upumbumbavu
 
Hakuna mpinzani Tanzania. Wote wanahongeka na kutulia tuli. Kama ulivyosema ni kwamba wapinzani hawajui waongee nini na wakati gani. Na pia chama kizima utakuta ni wasemaji tofauti kabisa na CCM. Huko CHADEMA utakuta viongozi karibu wote wanapost hovyo hovyo mambo yaliyopaswa yatolewe na msemaji wa chama au katibu mkuu. Kuongelea katiba mpya wakati watu wanawaza bei ya unga ni upumbavu usioelezeka. Kwenye uchaguzi wa Zambia Mzee HH alishinda kwa kuongelea mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja ila wapinzani wetu wanaongelea mambo ambayo ni ngumu kueleweka.
 
Wapinzani hawawezi kushinda ila wanaweza punguza kura za ccm na hivyo ccm kushinda kwa margin ndogo..

Imagine wapinzani wanashindwa hadi kuweka mawakala na wagombea kwenye ngazi zote hata pale wanapoweka wanakuwa ni WA kukamilisha ikama tuu..
 
Walishanikera Sana na mimi,sitokuja kuhangaika na kampeni ya mtu unless na mimi niwe mnufaika hapo sawa..

Unfortunately na hii ndio mentality ya watu wengi kitaa..

Harafu hata kule wapinzani walishinda ni vile ccm haikuweka wagombea wanaokubalika zaidi.
 


Tatizo tunashinda kuongelea sinema ambazo hazipo wanzetu wanafanya demokrasia

Tatizo sio chama ni kufuata sheria kama wenzetu. Mtu unaapa kufuata sheria halafu wewe ndiyo unakuwa wa kwanza kuopindisha… Polisi ndiyo waiba kura…

Kenye imetupa aibu sana
 
CCM ina hofu tuu zisizo na msingi ila ukweli ni kwamba wapinzani hawawezi kushinda ikiwa ccm watawateua wagombea ambao wananchi na wanachama wao wanawapenda.

Huu ni ukweli mchungu.
 


Yaani lissu anaongelea usalama wake baada ya kupigwa risasi na wasiojulikana na yeye anasema ni serikali ya Magu…. Yaani mtu hata kuja Tanzania mpaka leo hana uhakika wa usalama wewe unaongelea chaguzi 😂 ni sawa na zile PHD za darasa la saba…
 
Sasa unategemea wenzio wakupiganie wewe huku wewe mwenyewe hujipiganii?
 
Maendeleo yapi hayo yamekuwa? Mbona mnakuwa wajinga kiwango cha kutisha? Yaani ujinga ni sehemu ya maisha yenu? Eti kwa sasa kuna maendeleo yapi?

Wao kwa viwango vyao haya ni bonge ya maendeleo, ndio maana wanaendelea kupora uchaguzi ili waendelee kuleta hivyo vihoja wanavyolazimisha kuwa ni maendeleo.
 
Umeandika upuuzi kamaulivyo mpuuzi
 

Msituletee majeshi huku ZANZIBAR wala Diwani Na usalama wake wasipige kambi hapa Mtoni Na Tume iwe huru , jawabu mtalipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…