Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Hili lizingatiwe sana dunia hii haiko fair watu wanawindana kama Simba na swala. Safari yako usiage sana watu wasio wa muhimu INASAIDIA.
Mjusi hana sumu. Acha kumchafua samaki wa jangwani.Pana vyakula navyo huweza teketeza familia nzima mfano sumu kuvu,au mjusi katumbukia kwenye chakula msijue mkapikia humo humo ni hatari kuacha mboga wazi.
Meli mv bukoba na spices pia zimemaliza familia nzima
Hii si kweli, mr. Mutabingwa alitoka Uganda na familia yake ya watoto wawili na mkewe wakaingia Tanganyika wakapita Morogoro kwenye mashamba ya mkonge kisha wakaenda kwenye milima ya Usambara, wakaelekea Kilimanjaro kando ya mlima Kilimanjaro. Mr. Mutabingwa akavuka mpaka na kuingia Kenya akavuka mstari wa Ikweta Nairobi kisha akaingia Uganda kupitia maporomoko ya mto Naili(Nile) na wakafika salama nyumbani kwao.Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
Mjusi wa nyumbani ashaua familia Pana kisaMjusi hana sumu. Acha kumchafua samaki wa jangwani.
Hata mimi silali chumba kimoja na mke wangu kuhofia panyarodi, wanaua.Kuna aliyekuwa boss wangu mzungu aliiuwa akirudi kwao na familia hawapandi ndege moja
hao wazee wako wa zamani walikuwa wanatumia usafiri ganiWazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
Atakuwa alikanyaga sumu ya panya. Mijusi wa kwetu hawana sumu. Jamii chache sana za mijusi wanasumu nao ni mpaka wakuume.Mjusi wa nyumbani ashaua familia Pana kisa
Hawa wanaokaa ndani Hawa weupe wadogo vipiAtakuwa alikanyaga sumu ya panya. Mijusi wa kwetu hawana sumu. Jamii chache sana za mijusi wanasumu nao ni mpaka wakuume.
Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo uwezekano mkapotea kwa pamoja. Chukueni taadhari; kawia ufike.
Poleni wote mliowahi kupoteza ndugu kwenye ajali au majanga ambayo endapo tungetenganisha wana familia may be baadhi wangekuwa hai leo
Utaratibu ndio huo mnagawanyika kidogo kupungua uwezekano wa kutumia woteHahahah mama yangu huyo watatu basi lao, watatu basi lingine
Lakini uzembe wakati mwingine ukawa wa Gari lingine na sio wewe. Lipo tukio la msabato mmoja alikuwa muhadhiri Moro miaka 20 iliyo pita ilitokea maaeneo ya urafiki basi lilihamia upande wakeKumuomba Mungu atuepushe na mabaya yote alivyopanga kutuchukua atatuchukua tu haijalishi mkiwa pamoja au tofauti. Humu kwenye safari za magari binafsi kuna uzembe mwingi sana unafanyika. Mfano siku moja nilikua natoka dar kwenda klm njiani nikapita petrol station moja nikapaki nikaingia chooni nikakutana na jamaa yuko vyombo japo sio dereva nikamtania tukacheka kila mtu akatoka wakati naondoka wakaniuliza hapa na wapi nikawaambia naingia kilimanjaro. Basi nikatoka wakanipita kibati sana na ndani mziki mkubwa na totoz zinafurahi nilipofika maeneo ya chekereni nakuta ajali na ndio wao wamebamiza gari kwenye kalavati dereva hajaumia sana ila wale wala bata alooo hawatamaniki, hivyo uzembe na kujiachia safarini kuna mchango mkubwa sana kwenye kupoteza maisha. Napenda sana kusafiri na familia yangu ila nakua na utulivu wa hali ya juu mixer maombi ya wife na maji ya baraka lazima yahusike kabla ya safari kuanza unaweza ona jambo la kawaida ila kwenye imani nakua nimekata minyororo mingi ya mabaya