Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Umesema kweli kabisa..nikiongozi wetu hatukatai ila ni incompetent leader..kiufupi tumepigwa..hata speech zake unaona kabisa hajiwezi huyu...makonda njoo uchukue nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni katika namna hio hio ambayo hamkuridhika na Magufuli ila sie tuliona anachapa kazi na zinaonekana
 
โ–ช๏ธŽ Ndiyo hivyo sasa aliwateua 11 na haukumfanya kitu, na hata sasa hauna cha kumfanya, utabaki kulialia tu mitandaoni.

โ–ช๏ธŽ Hela aligawa kwa wananchi bila idhini ya Bunge and yet hauna chochote cha kumfanya, isipokuwa unaendelea kuteseka na chuki inayokutafuna kidogokidogo mpaka utakapokufa.

NB: Mwenzio amekufa akiwa na cheo namba moja kabisa nchini ambacho wewe hata ufanyaje utakaa ukisikie tu. Ni ushauri kwako ujikite kuitafutia familia yako mkate badala ya kuhangaika na marehemu.
 
Kwa nini Mbowe yuko gerezani?
 
Hilo ni kundi la wajinga wachache wapuuze tu!
Pombe zikiwaishia kichwani wataacha!
 
Baadhi ya watanzania wame miss kuwekwa ndani wakikamatwa wawili ka sample utaona ukimya, ndio maana magufuli anakuwa anawanyoosha kwerikweri, in short watanzania majority hatuna jema,
 
Maiti.. bladefeken..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kututisha na magandwa, kutupiga risasi, kututeka , kututesa, kutuua na kutufunga, chali ndembe ndembe kifo cha mendeโ€ฆ hakuna Mungu kama wewe Allah .. ehee ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ๐Ÿ•บ๐Ÿฝ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ๐Ÿ•บ๐Ÿฝ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ๐Ÿ•บ๐Ÿฝ
 

Mkuu kwenye Nb:Sijakuelewa una Maana gani Au ulitaka Kumaanisha Nini?
 
Hata mwaka bado ,, mshatepeta,
Aachie tu wengine aende akalee ndoa yake ya mitala Makunduchi, na hakuna wala hatoona mtu anamsumbua.. hatuna shida na yeye nchi yetu lazima tutaipigania kwa wivu wetu wote. Hatutamuacha katu.
Tutapiga mpaka achakae..
 
Mataga hawana nidhamu kabisa
 
Huyu mama anajitakia Mmbowe anashida gani mpk aendelee kuumfanyia hivyo.. Ngombe wakanywe wapi maji fedheha. Unanunua ndege badala ya kununua mtambo wa kuchenjua chumvi maji ya bahari watu wakanywa maji safi
 
Rais ni mkuu wa nchi
Nchi siyo kama vile familia yako unavyotaka wewe ndo ni amri
kweli kabisa inatoka rohoni kiongozi aliyepita awamu ya tano alikuwa hafai hafai hafai
CCM isituletee tena kiongozi kama huyo

Kwanza mama yake mzazi ndiye alikuwa wa kwanza kumtilia mashakaa eti mnampa urais huyo hivi mnamjua?
wa pili alikuwa Antony DIALLO wa Star TV hivi hamjui huyo anafaili milembe?
wa tatu alikuwa ni Zitto Kabwe baada ya kumwambia Mh Lihaga Mpina aliyekuwa ni waziri wa uvuvi enzi za awamu yake alisema wewe Mpina chapa kazi wewe ni kichaa kama mimi, Ndipo Mh. Zitto akasema sasa kuhangaika kupima itasaidia nini mbona mwenyewe kesha sema ni kichaa?
 
Mfumo dume umeharibu akili yako. Aliyekwambia Samia hawezi kuongoza ni nani?. Ondoa dhana potofu kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ