Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Huo mstari wako wa mwisho unaudhi sana. Ungekuwa karibu nami ningekudhaba kibao, na hao wazungu wako ningewanywesha mkojo wako.

Sasa uniambie kama wewe unastahili kuambiwa hayo maneno niliyokuandikia hapa, kwa vile tu wewe sio Samia!

Hata sijui kama utanielewa. Potelea mbali, hiyo ni shauri yako!
 
Na Mbowe ana watoto na família kiujumla inamhitaji yeye sio aonewe kwasababu ya mitazamo tofauti na watawala.

Huyo Samia atakachokipanda ndicho atakachovuna na atakejeliwa bila ya kuangalia sura yake.
Ningeomba mleta mada aitolee maoni yake hii uliyoweka hapa, vinginevyo ni mnafiki mkubwa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu, wewe ni wale wahanga wa vyeti feki? Au teteko? Au wa Morogoro road?

Hilo povu sio la nchi hii.
 
swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Katika hili la machinga na mimi wanamwunga mkono kwa kweli! Mama yuko vizuri! Sasa hivi miji yetu inawakawaka! Yaani imependeza!
 
Naona wewe ndo unataka kuleta uchochozi Kati ya Rais na wananchi wake.
Bora hata ungesema kikund Cha watu wachache...., Badala yake unasema umeibuka utamaduni wa watu wengi kumbeza Rais!!!

Kwann wawe wengi wa kumbeza? Na si wachache? Kwan tukipiga kura, rais si anashinda kwa kura za watu wengi? Sasa Kama hao wengi ndo wanamkataa bas mwenyewe tatizo uenda analijuwa.

So wewe tulia kabisaaa, unavyozidi kuandika hv ndivyo na ss wengne tunafunguka macho.
 
Ndo mnaongozwa na mwanamke, na huyu tunae Hadi achoke kutuongoza.
#tanzaniayasamia
#superwoman

Huna ujualo, Bi. Tozo hagombei 2025 (Gazeti UHURU halikuongopa, lilitoa za ndani likakemewa)…. jiandae tu kushangilia tutayekuletea.
 
Watu wenye matatizo kwa kawaida hukosa adabu. Tuendele kutatua matatizo ya watu. Ajira, maji, umeme, makazi, haki, uhuru, masoko...

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hata mwaka bado ,, mshatepeta,
Aachie tu wengine aende akalee ndoa yake ya mitala Makunduchi, na hakuna wala hatoona mtu anamsumbua.. hatuna shida na yeye nchi yetu lazima tutaipigania kwa wivu wetu wote. Hatutamuacha katu.
Tutapiga mpaka achakae..
Mtakufa na kinyongo chenu, hamna jeuri zaidi ya kujifariji kwa maneno matupu ya jamiiforum.
 
Huna ujualo, Bi. Tozo hagombei 2025 (Gazeti UHURU halikuongopa, lilitoa za ndani likakemewa)…. jiandae tu kushangilia tutayekuletea.
Nakuonea huruma unavyoteseka, mama mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…