Una fananisha china na tanzania imbecileChina ni nchi ndogo kama Rwanda? Mbona pamoja na ukubwa wake wa Kijiografia na Idadi kubwa ya Watu bado imeweza tu kupiga hatua zaidi ya Kiuchumi na Kimaendeleo? You're very Foolish...!!!
Kwa hiyo wapinzani ndio wanazuia maendeleo? Vipi USA hakuna wapinzani?Rwanda haina wapinzani wenye fujo. Kagame ni one man show. Ukileta kiherehere unakipata unachokitafuta.
JPM angekubaliana na chanjo kila mtu angeipata fasta.(marufuku ya mifuko ya plastic ilipita na kutekelezwa fasta)Hii ndio maana halisi ya kiongozi
#ikikuumamezawembe
#Povuruksa
Kwa hiyo wapinzani ndio wanazuia maendeleo? Vipi USA hakuna wapinzani?
NB: Sikujua kama una akili ndogo kiasi hiki.
Nilijua tu kwa Ubongo wako uliojaa tu Mkojo usingeelewa logic behind Mimi kuzitaja Rwanda na China tena nikimjibu Yule Moron mwenzako.Una fananisha china na tanzania imbecile
Hashangiliwi Kagame bali wanashangiliwa Wanyarwanda ambao wanajua Kujituma, hawana muda wa Majungu na Fikra zao zimekaa Kimaendeleo na Kimkakati zaidi.Hee nimesema povu ruksa ni haki yako😂😂😂😂😂mnamshangilia kagame wakati hana tofauti na mnaowachukia
Akili kubwa bana
Yani umetuwekea picha za vighorofa vitatu 🤣 sasa iyo si ka makumbosho tu pale kijitonyama, watutsi wa jf mna shida kweli, usikute we unaisifia Rwanda lakini unakaa tandale kwa ali maua, kwenu Rwanda kwenda hutaki hata kusikia, baraka ya kusifia humu tu jfKigali a place to beView attachment 1895530
Hashangiliwi Kagame bali wanashangiliwa Wanyarwanda ambao wanajua Kujituma, hawana muda wa Majungu na Fikra zao zimekaa Kimaendeleo na Kimkakati zaidi.
Ile si kata ya vinginguti tuNi ka nchi kadogo sana, kukamoniter ni rahisi
Ila mkiambiwa muende hamtaki, tuwaeleweje?Kigali a place to beView attachment 1895530
Mku wewe kama great thinker tufanyaje tuwapite au tuwakaribie.What a poor thinking from a Tanzania called himself a Great Thinker.
Absolutely nonsense..!!!
Unatumia nguvu kubwa sana kufanya hoja zako zikubalike, kwanini usiache zikawa challenged na hoja zijitetee zenyewe?.Una uwezo mdogo mno wa Akili Ndugu na pole sana kwa hilo. Kwahiyo unataka kusema hakuna nchi zenye Ukubwa wa Kijiografia na hata kwa Idadi ya Watu na bado tu zina Maendeleo makubwa? China ni ndogo kama Rwanda?
Nitoe RAI tu kama unajijua kuwa bado IQ yako ni ya Punje ya Mchele hasa katika Kujadili Mada za Kimantiki ni heri tu unyamaze na uwaache waliokuzidi Akili wachangie nawe pia ujifunze kwani si lazima pia kila Mada ukurupuke Kuichangia JamiiForums.
Na majuzi jiji lao la Kigali limeshinda tena kuwa jiji linaoongoza kwa usafi barani Africa.Nchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.
Dar ni kamkoa kadogo sana but for years tumeshindwa kuondoa angalau kero ya uchafu wa jiji, achilia mbali kushindwa kuondoa tatizo la usafiri, kero ya maji nk... Sasa je kwa mkoa Mkubwa kama Tabora si ndiyo basi tena??Ni ka nchi kadogo sana, kukamoniter ni rahisi
Rwanda ni nchi maskini. Imepitwa na Tanzania kwa kila kitu.Nchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.
Wanafiki tu.Watutsi wengi mnaojaza misifa kiwilaya chenu cha Rwanda humu jf wengi wenu mpo mnaishi Tanganyika,,sasa si muende huko kwenye kiwilaya chenu cha Rwanda mkausome mziki wa kagame, mana yeye ndo alfa na omega huko
Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.Kuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda hasa kwenye nidhamu ya watumishi wa umma na maendeleo.
Ukimpa PK hii Tanzania kuna watu watapiga kelele kuomba msaada kwa Armstadam na haki za binadamu,Rwanda ilipofika sasa ni kwasababu Kagame acheki na nyani,wakati unaandaa kongamano la katiba mpya na yeye anakundalia makazi ya milele.Rwanda ukila rushwa alafu ukabainika nusu utakua hai nusu umekufa.
Ni yeye kabadilisha ID tu.Gentamycin yupo sehemu salama nini, ndio mada zake hizi