Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Hawana blaablaaa,wanachapa kazi. Ukienda kufanya kazi Rwanda kama una blaablaa unarudishwa na unasindikizwa mpaka mpakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burundi mbona ndogo ila imechoka??Ukubwa wa nchi ya Rwanda ni saw na mkoa wa mbeya. Hata mm ningewashangaa wasinge endelea
But also Rwanda hawana vyama vya upinzani.
Inaweza kuingiza mara 100 zaidi ya Rwanda lakini pesa inasaidia nini??Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?
Hapa hatuzungumzii pesa inatumika vipi bali tunazungumzia kuonyesha rwanda amefanikiwa sana kwenye utalii kuliko tzInaweza kuingiza mara 100 zaidi ya Rwanda lakini pesa inasaidia nini??
Familia ina watoto 10 baba unaingiza million 10 kwa mwezi ila hawaendi shule na afya za mgogoro kwa lishe mbovu.
Ama Familia ya mtoto mmoja hta kma mzazi anaingiza laki 5 ila mtoto anakula vzuri, anasoma shule nzuri, afya njema
Nani ni bora?? Au utajisifia tu naingiza Million 10 kuliko mzazi B anayeingiza laki kadhaa???
Kwa vivutio vichache walivyonavyo kweli wamejibrand zaidi yetu na utalii unawaingizia share kubwa kwa GDP yao kuliko sisi.Hapa hatuzungumzii pesa inatumika vipi bali tunazungumzia kuonyesha rwanda amefanikiwa sana kwenye utalii kuliko tz
Bogus excuse!Ni ka nchi kadogo sana, kukamoniter ni rahisi
Acheni Ubogus! Mbona Dar ni.Mkoa lkn hata kumanage usafi tu ni shida??Watu mil 12 dhidi ya mil 62
Are you serious huo si mkoa tu kama dar ni rahisi ku handle.
We utakuwa myarwandaBogus excuse!
Yes Mimi ni Mnyarwanda. Whats your Problem? Tatizo Watanzania wengi siku zinavyozidi kwenda ndivyo mnazidi kuwa wajinga.We utakuwa myarwanda
Its normal for Nuts like you two to support each other.Nakuunga mkono nikiwa mmoja eso,Kagame sio poa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukubwa wa nchi ya Rwanda ni saw na mkoa wa mbeya. Hata mm ningewashangaa wasinge endelea
But also Rwanda hawana vyama vya upinzani.
Jiwe kafa kwa kukosa maarifa, jiangalie mkuu usije mfataNdiomana walifurahia Magufuli kufa ili wasipate changamoto kimaendeleo ili tanzania iwe fursa kwao kama ngazi
Safi sana na ndiyo maana nawakubali sana Wanyarwanda na nampenda mno Rais wao Paul Kagame.Hawana blaablaaa,wanachapa kazi. Ukienda kufanya kazi Rwanda kama una blaablaa unarudishwa na unasindikizwa mpaka mpakani.
Ndugu kupitia huu Uzi na responses ya the so called Tanzania Great Thinkers utagundua kuwa Taifa lao kuwa nyuma hivi ni halali yao na wasipobadilika katika kuwekeza katika Majungu, Wivu, Chuki, Upumbavu na Uswahili wataachwa Kimaendeleo na hata Somalia na Djibouti sasa.Burundi mbona ndogo ila imechoka??
Rwanda ni ndogo pia hta kwa population na pato la taifa kuliko Tanzania sasa kivipi hadi inawazidi maendeleo? Maana unavyoongea utadhani wana rasilimali sawa na zetu.
Ni kama ninyi tu watutsi mnavyokubaliana na kujiona ninyi ndio watu daraja la kwanza wengine wote kenge, watu nyie, afu mkome kujikosha humu jf na kiwilaya chenu hicho Rwanda,, kama kuzuri mbona hamuondoki mnakomaa hapa bongo
Ndugu naona umejitoa mhanga kuwaelimisha Waswahili ambao Wivu, Chuki na Ujuha ndiyo Tunu yao na yote mazuri ya Kimaendeleo yaihusuyo Rwanda kwao siyo Taarifa njema au hata ya Kujifunza kama siyo Kubadilika.Inaweza kuingiza mara 100 zaidi ya Rwanda lakini pesa inasaidia nini??
Familia ina watoto 10 baba unaingiza million 10 kwa mwezi ila hawaendi shule na afya za mgogoro kwa lishe mbovu.
Ama Familia ya mtoto mmoja hta kma mzazi anaingiza laki 5 ila mtoto anakula vzuri, anasoma shule nzuri, afya njema
Nani ni bora?? Au utajisifia tu naingiza Million 10 kuliko mzazi B anayeingiza laki kadhaa???
Another Fool.Watu mil 12 dhidi ya mil 62
Are you serious huo si mkoa tu kama dar ni rahisi ku handle.