#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

Ukubwa wa nchi ya Rwanda ni saw na mkoa wa mbeya. Hata mm ningewashangaa wasinge endelea

But also Rwanda hawana vyama vya upinzani.
Burundi mbona ndogo ila imechoka??

Rwanda ni ndogo pia hta kwa population na pato la taifa kuliko Tanzania sasa kivipi hadi inawazidi maendeleo? Maana unavyoongea utadhani wana rasilimali sawa na zetu.
 
Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?
Inaweza kuingiza mara 100 zaidi ya Rwanda lakini pesa inasaidia nini??

Familia ina watoto 10 baba unaingiza million 10 kwa mwezi ila hawaendi shule na afya za mgogoro kwa lishe mbovu.

Ama Familia ya mtoto mmoja hta kma mzazi anaingiza laki 5 ila mtoto anakula vzuri, anasoma shule nzuri, afya njema

Nani ni bora?? Au utajisifia tu naingiza Million 10 kuliko mzazi B anayeingiza laki kadhaa???
 
Hapa hatuzungumzii pesa inatumika vipi bali tunazungumzia kuonyesha rwanda amefanikiwa sana kwenye utalii kuliko tz
 
Kwa vivutio vichache walivyonavyo kweli wamejibrand zaidi yetu na utalii unawaingizia share kubwa kwa GDP yao kuliko sisi.

Rwanda ni 15% of GDP hku Tz ni 10% pekee sasa kma tungeweza ongeza potential ya tourism hyo 15% tukifika hauoni itatupa matrillion mengi zaidi??
 
Yes Mimi ni Mnyarwanda. Whats your Problem? Tatizo Watanzania wengi siku zinavyozidi kwenda ndivyo mnazidi kuwa wajinga.
Ndugu hapo mwishoni ungemalizia tu na neno Wapumbavu lingependeza na kumfaa / kuwafaa zaidi.

Cc: Bizzoo1
 
Hawana blaablaaa,wanachapa kazi. Ukienda kufanya kazi Rwanda kama una blaablaa unarudishwa na unasindikizwa mpaka mpakani.
Safi sana na ndiyo maana nawakubali sana Wanyarwanda na nampenda mno Rais wao Paul Kagame.
 
Burundi mbona ndogo ila imechoka??

Rwanda ni ndogo pia hta kwa population na pato la taifa kuliko Tanzania sasa kivipi hadi inawazidi maendeleo? Maana unavyoongea utadhani wana rasilimali sawa na zetu.
Ndugu kupitia huu Uzi na responses ya the so called Tanzania Great Thinkers utagundua kuwa Taifa lao kuwa nyuma hivi ni halali yao na wasipobadilika katika kuwekeza katika Majungu, Wivu, Chuki, Upumbavu na Uswahili wataachwa Kimaendeleo na hata Somalia na Djibouti sasa.
 
Its normal for Nuts like you two to support each other.

Cc: Nyonzo bin mvule
Ni kama ninyi tu watutsi mnavyokubaliana na kujiona ninyi ndio watu daraja la kwanza wengine wote kenge, watu nyie, afu mkome kujikosha humu jf na kiwilaya chenu hicho Rwanda,, kama kuzuri mbona hamuondoki mnakomaa hapa bongo
 
Inaweza kuingiza mara 100 zaidi ya Rwanda lakini pesa inasaidia nini??

Familia ina watoto 10 baba unaingiza million 10 kwa mwezi ila hawaendi shule na afya za mgogoro kwa lishe mbovu.

Ama Familia ya mtoto mmoja hta kma mzazi anaingiza laki 5 ila mtoto anakula vzuri, anasoma shule nzuri, afya njema

Nani ni bora?? Au utajisifia tu naingiza Million 10 kuliko mzazi B anayeingiza laki kadhaa???
Ndugu naona umejitoa mhanga kuwaelimisha Waswahili ambao Wivu, Chuki na Ujuha ndiyo Tunu yao na yote mazuri ya Kimaendeleo yaihusuyo Rwanda kwao siyo Taarifa njema au hata ya Kujifunza kama siyo Kubadilika.
 
Back
Top Bottom