#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

China ni nchi ndogo kama Rwanda? Mbona pamoja na ukubwa wake wa Kijiografia na Idadi kubwa ya Watu bado imeweza tu kupiga hatua zaidi ya Kiuchumi na Kimaendeleo? You're very Foolish...!!!
Una fananisha china na tanzania imbecile
 
Rwanda haina wapinzani wenye fujo. Kagame ni one man show. Ukileta kiherehere unakipata unachokitafuta.

JPM angekubaliana na chanjo kila mtu angeipata fasta.(marufuku ya mifuko ya plastic ilipita na kutekelezwa fasta)Hii ndio maana halisi ya kiongozi

#ikikuumamezawembe
#Povuruksa
Kwa hiyo wapinzani ndio wanazuia maendeleo? Vipi USA hakuna wapinzani?

NB: Sikujua kama una akili ndogo kiasi hiki.
 
Hee nimesema povu ruksa ni haki yako😂😂😂😂😂mnamshangilia kagame wakati hana tofauti na mnaowachukia

Akili kubwa bana
Kwa hiyo wapinzani ndio wanazuia maendeleo? Vipi USA hakuna wapinzani?

NB: Sikujua kama una akili ndogo kiasi hiki.
 
Una fananisha china na tanzania imbecile
Nilijua tu kwa Ubongo wako uliojaa tu Mkojo usingeelewa logic behind Mimi kuzitaja Rwanda na China tena nikimjibu Yule Moron mwenzako.

Hoja iliyokuwa Kuu kule ni Udogo wa Rwanda na Maendeleo yake na ukubwa wa nchi yake Kubwa lakini kila Uchao tu inachelewa Kimaendeleo.

Rwanda ni nchi na China pia ni nchi na zote zina Binadamu walio sawa ila Matatizo ya nchi yako utokayo ( naihifadhi ) yanajulikana kama Majungu, Wivu, Chuki, Upumbavu, Ushamba na Elimu isiyokuwa na Tija kwenu Raia wake ndiyo maana mpo hapo hapo na mnapelekwa hovyo huku yale Mataifa mliyoyasaidia yakiwaacha Kimaendeleo na hata Kuwacheka pia.
 
Hee nimesema povu ruksa ni haki yako😂😂😂😂😂mnamshangilia kagame wakati hana tofauti na mnaowachukia

Akili kubwa bana
Hashangiliwi Kagame bali wanashangiliwa Wanyarwanda ambao wanajua Kujituma, hawana muda wa Majungu na Fikra zao zimekaa Kimaendeleo na Kimkakati zaidi.
 
Kiongozi wao ndo msingi mzima wa hayo yanayotendeka
Hashangiliwi Kagame bali wanashangiliwa Wanyarwanda ambao wanajua Kujituma, hawana muda wa Majungu na Fikra zao zimekaa Kimaendeleo na Kimkakati zaidi.
 
Tuache wachomane kwanza, baada ya miaka 10 tukiona bado wako vizuri, nasi tutachoma, tusiwe na haraka kwa vitu vya majaribio.
 
Una uwezo mdogo mno wa Akili Ndugu na pole sana kwa hilo. Kwahiyo unataka kusema hakuna nchi zenye Ukubwa wa Kijiografia na hata kwa Idadi ya Watu na bado tu zina Maendeleo makubwa? China ni ndogo kama Rwanda?

Nitoe RAI tu kama unajijua kuwa bado IQ yako ni ya Punje ya Mchele hasa katika Kujadili Mada za Kimantiki ni heri tu unyamaze na uwaache waliokuzidi Akili wachangie nawe pia ujifunze kwani si lazima pia kila Mada ukurupuke Kuichangia JamiiForums.
Unatumia nguvu kubwa sana kufanya hoja zako zikubalike, kwanini usiache zikawa challenged na hoja zijitetee zenyewe?.

Wewe ndio IQ yako iko chini zaidi kuliko Madonna
 
watanzania wengi tumekuzwa kama mandondocha hivyo tuwe wapole rwanda yuko level nyingine kabisa kwa sasa
 
Nchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.
Na majuzi jiji lao la Kigali limeshinda tena kuwa jiji linaoongoza kwa usafi barani Africa.
 
Ni ka nchi kadogo sana, kukamoniter ni rahisi
Dar ni kamkoa kadogo sana but for years tumeshindwa kuondoa angalau kero ya uchafu wa jiji, achilia mbali kushindwa kuondoa tatizo la usafiri, kero ya maji nk... Sasa je kwa mkoa Mkubwa kama Tabora si ndiyo basi tena??
 
Nchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.
Rwanda ni nchi maskini. Imepitwa na Tanzania kwa kila kitu.
 
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda hasa kwenye nidhamu ya watumishi wa umma na maendeleo.
Ukimpa PK hii Tanzania kuna watu watapiga kelele kuomba msaada kwa Armstadam na haki za binadamu,Rwanda ilipofika sasa ni kwasababu Kagame acheki na nyani,wakati unaandaa kongamano la katiba mpya na yeye anakundalia makazi ya milele.Rwanda ukila rushwa alafu ukabainika nusu utakua hai nusu umekufa.
Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom