#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

Wewe Subiria Rais atoke madarakani hapo Ndo utaona chuki na kisasi hiyo Nchi. Kuna nguvu kubwa sana inayotumika kuendelea Aman
 
Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.
Mkuu Rwanda wanapewa misaada pia na Tanzania tunapewa misaada.
Rwanda wanapora rasilimali za Congo kama unavyosema lakini sisi rasilimali lukuki tunazo za kwetu.
Rwanda wana sokwe mtu tu lakini wamejitangaza kimataifa kukuza utalii wa ndani ili kuongeza pato lao.wameanza hatua ya kujenga makazi bora ya watu masikini hao unaosema wapo wengi.mfumo wao wa elimu si haba wanapiga hatua kubwa ukilinganisha ni ili linchi letu.
Muda walioacha vita mpaka sasa si haba wamepiga hatua kubwa ya maendeleo ukilinganisha na Tanzania baada ya kupata uhuru wetu 1961.baada ya miaka mingine kama 20 hivi Rwanda watatuacha mbali sana kama wakiendelea hivi.Nchi za Africa mtawala akichekacheka maendeleo akuna zaidi ya rushwa,ubadhilifu na vurugu.
 
Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.
Wazazi wako walipoteza sana Pesa zao kukupeleka Shule kwani badala ya Upumbavu kukutoka sasa ndiyo umekuzidi.
 
Kweli mtoa mada unaamini tz tunaichukia rwanda?
 
Ni Mwerevu tu kama Wewe na baadhi hapa ndiyo mnatambua Juhudi kubwa za Kimaendeleo za Rwanda ila bahati mbaya kuna Wapumbavu wengi wanaichukia Rwanda huku nchi yao Kitu pekee ilichowekeza na inachoweza ni Majungu, Wivu, Fitina, Ushamba na Elimu yao kutowasaidia.
 
Unawachukia wewe na Nani tena jamani?..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?
 
Nchi ina watu sita tu usiogope mzee
 
Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?
IQ yangu iliyobarikiwa vyema na Mwenyezi Mungu hainiruhusu kujibu Swali la Kipuuzi kama hili na ambalo limetoka pia kwa Mpuuzi vile vile.
 
They used to say, if you want to start, stop talking.

Watanzania tuna mipango na mikakati mizuri sana, tatizo tunaendekeza maneno maneno na siasa za uvyama!

Hakika siku tukija shtuka, Nchi zote za Africa zitakuwa zimetuacha mbali! Watu wanaendekeza madaraka ya uvyama!

Poor Tanzania.
 
Wazazi wako walipoteza sana Pesa zao kukupeleka Shule kwani badala ya Upumbavu kukutoka sasa ndiyo umekuzidi.
Mimi na wewe mpambavu nani. Shule yako na degree, master umejibu nini?
Walioende shule wanajibu kwa hoja . Una Quote point una masahihisha ukishamaliza unatoe Elimu.
Kilaza wewe unajifanya una Elimu kumbe hamna kitu. Pesa walizotumia wazazi wako bora wengenunua Ng’ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…