Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Rwanda wanapewa misaada pia na Tanzania tunapewa misaada.Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.
Na huwezi kuwa Msafi hasa Kimazingira kama pia huna Akili sana.Na majuzi jiji lao la Kigali limeshinda tena kuwa jiji linaoongoza kwa usafi barani Africa.
You're a blessed Buffoon on the Forum.Rwanda ni nchi maskini. Imepitwa na Tanzania kwa kila kitu.
Wanaowazidi Akili Kubwa kwa mbali tu.Wanafiki tu.
Wazazi wako walipoteza sana Pesa zao kukupeleka Shule kwani badala ya Upumbavu kukutoka sasa ndiyo umekuzidi.Rwanda bado ni nchi maskini sana pamoja na misaada mingi inayopewa na uporoji mkubwa wa rasilimali kutoka DRC bado imezidiwa na Tanzania kwa kila kitu.
Kawaida Dua la Kuku halimpati Mwewe.Wewe Subiria Rais atoke madarakani hapo Ndo utaona chuki na kisasi hiyo Nchi. Kuna nguvu kubwa sana inayotumika kuendelea Aman
Kweli mtoa mada unaamini tz tunaichukia rwanda?Una uwezo mdogo mno wa Akili Ndugu na pole sana kwa hilo. Kwahiyo unataka kusema hakuna nchi zenye Ukubwa wa Kijiografia na hata kwa Idadi ya Watu na bado tu zina Maendeleo makubwa? China ni ndogo kama Rwanda?
Nitoe RAI tu kama unajijua kuwa bado IQ yako ni ya Punje ya Mchele hasa katika Kujadili Mada za Kimantiki ni heri tu unyamaze na uwaache waliokuzidi Akili wachangie nawe pia ujifunze kwani si lazima pia kila Mada ukurupuke Kuichangia JamiiForums.
Ni Mwerevu tu kama Wewe na baadhi hapa ndiyo mnatambua Juhudi kubwa za Kimaendeleo za Rwanda ila bahati mbaya kuna Wapumbavu wengi wanaichukia Rwanda huku nchi yao Kitu pekee ilichowekeza na inachoweza ni Majungu, Wivu, Fitina, Ushamba na Elimu yao kutowasaidia.Mkuu Rwanda wanapewa misaada pia na Tanzania tunapewa misaada.
Rwanda wanapora rasilimali za Congo kama unavyosema lakini sisi rasilimali lukuki tunazo za kwetu.
Rwanda wana sokwe mtu tu lakini wamejitangaza kimataifa kukuza utalii wa ndani ili kuongeza pato lao.wameanza hatua ya kujenga makazi bora ya watu masikini hao unaosema wapo wengi.mfumo wao wa elimu si haba wanapiga hatua kubwa ukilinganisha ni ili linchi letu.
Muda walioacha vita mpaka sasa si haba wamepiga hatua kubwa ya maendeleo ukilinganisha na Tanzania baada ya kupata uhuru wetu 1961.baada ya miaka mingine kama 20 hivi Rwanda watatuacha mbali sana kama wakiendelea hivi.Nchi za Africa mtawala akichekacheka maendeleo akuna zaidi ya rushwa,ubadhilifu na vurugu.View attachment 1896273View attachment 1896274View attachment 1896275View attachment 1896276
Unauliza Simanzi Mochwari?Kweli mtoa mada unaamini tz tunaichukia rwanda?
Another Swahili Cretin on the Forum!!!!!Jirani mwenye chumba kimoja ndio ajilinganishe na mwenye bangalow kweli? Rwanda si ukubwa tu kama shamba la Kapunga kule Igurusi?
Unawachukia wewe na Nani tena jamani?..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community health workers nearby to get the vaccine.
Dr Tharcisse Mpunga, Minister of State in Charge of Primary Healthcare, said that the reason for delivering the vaccines for vulnerable people to their homes was due to the high demand for jabs by young people.
"The demand for the vaccine is very high, especially by young people. We do not have enough vaccines to inoculate 60 percent yet, so we started with those at risk. We are hoping to get more vaccines to reach more people," Dr Mpunga said.
According to the Ministry of Health statistics, 60 percent of Covid-19 deaths are people above the age of 60.
The current mass vaccination targets people aged 40 and above, pregnant and nursing mothers, and other people with conditions that predispose them to serious illness.
Source: Rwanda: Govt Launches Door-to-Door Covid-19 Vaccination for Vulnerable Groups
Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?Ni Mwerevu tu kama Wewe na baadhi hapa ndiyo mnatambua Juhudi kubwa za Kimaendeleo za Rwanda ila bahati mbaya kuna Wapumbavu wengi wanaichukia Rwanda huku nchi yao Kitu pekee ilichowekeza na inachoweza ni Majungu, Wivu, Fitina, Ushamba na Elimu yao kutowasaidia.
Nchi ina watu sita tu usiogope mzeeMkuu Rwanda wanapewa misaada pia na Tanzania tunapewa misaada.
Rwanda wanapora rasilimali za Congo kama unavyosema lakini sisi rasilimali lukuki tunazo za kwetu.
Rwanda wana sokwe mtu tu lakini wamejitangaza kimataifa kukuza utalii wa ndani ili kuongeza pato lao.wameanza hatua ya kujenga makazi bora ya watu masikini hao unaosema wapo wengi.mfumo wao wa elimu si haba wanapiga hatua kubwa ukilinganisha ni ili linchi letu.
Muda walioacha vita mpaka sasa si haba wamepiga hatua kubwa ya maendeleo ukilinganisha na Tanzania baada ya kupata uhuru wetu 1961.baada ya miaka mingine kama 20 hivi Rwanda watatuacha mbali sana kama wakiendelea hivi.Nchi za Africa mtawala akichekacheka maendeleo akuna zaidi ya rushwa,ubadhilifu na vurugu.View attachment 1896273View attachment 1896274View attachment 1896275View attachment 1896276
IQ yangu iliyobarikiwa vyema na Mwenyezi Mungu hainiruhusu kujibu Swali la Kipuuzi kama hili na ambalo limetoka pia kwa Mpuuzi vile vile.Kwahiyo unazani rwanda anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko tz?
What a poor thinking from a Swahili Cretin!Nchi ina watu sita tu usiogope mzee
Nakuunga mkono nikiwa mmoja eso,Kagame sio poaWatutsi wengi mnaojaza misifa kiwilaya chenu cha Rwanda humu jf wengi wenu mpo mnaishi Tanganyika,,sasa si muende huko kwenye kiwilaya chenu cha Rwanda mkausome mziki wa kagame, mana yeye ndo alfa na omega huko
They used to say, if you want to start, stop talking.Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community health workers nearby to get the vaccine.
Dr Tharcisse Mpunga, Minister of State in Charge of Primary Healthcare, said that the reason for delivering the vaccines for vulnerable people to their homes was due to the high demand for jabs by young people.
"The demand for the vaccine is very high, especially by young people. We do not have enough vaccines to inoculate 60 percent yet, so we started with those at risk. We are hoping to get more vaccines to reach more people," Dr Mpunga said.
According to the Ministry of Health statistics, 60 percent of Covid-19 deaths are people above the age of 60.
The current mass vaccination targets people aged 40 and above, pregnant and nursing mothers, and other people with conditions that predispose them to serious illness.
Source: Rwanda: Govt Launches Door-to-Door Covid-19 Vaccination for Vulnerable Groups
Mimi na wewe mpambavu nani. Shule yako na degree, master umejibu nini?Wazazi wako walipoteza sana Pesa zao kukupeleka Shule kwani badala ya Upumbavu kukutoka sasa ndiyo umekuzidi.