#COVID19 Hata kama tunawachukia, tukubali kuwa Rwanda wametuzidi Kimkakati na kwa Fikra za Kimaendeleo

Ni vizuri tukajifunza kutoka kwao, kwanza Watumishi wao wa Umma wana nidhamu sio wapigaji wa Mabilioni kama hawa wa kwetu.

Halafu hawana matamko ya Ovyo ovyo kama hawa wabahatishaji wa kwetu.
Chungulia salary scales in Rwanda ulinganishe na zenu! Watumishi mishahara ipo vizuri wana earn twice of what Tanzanians earn per annum!

Wanaheshimu proffessionalism sio upuuzi wa kuokoteza wabunge kwa tiketi ya chama😂
 
Ni kama ninyi tu watutsi mnavyokubaliana na kujiona ninyi ndio watu daraja la kwanza wengine wote kenge, watu nyie, afu mkome kujikosha humu jf na kiwilaya chenu hicho Rwanda,, kama kuzuri mbona hamuondoki mnakomaa hapa bongo
Aliyekuambia Mimi nipo Tanzania nani?
 
Wewe Nani mnawachukia? Sijawahi wachukia
 
Badilisha kichwa cha habari, hizo Ni hisia zako binafsi Mod
 
Aliyekuambia Mimi nipo Tanzania nani?
We si wingilymana unakaa manzese kwa mfuga mbwa japo huku umebadili jina unajiita joseph,,, afu nyie watutsi mnajiona mna akili nyingi sana ila sie tunawachora tu mjue,, kama hicho kiwilaya chenu cha Rwanda kizuri si muende na sio kukisifia humu utadhani labda haven,,
 
Vipi umesahau Kunywa leo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili unaokutesa kwa muda mrefu sasa?
 
Anzisha thread yako uweke Kichwa cha Habari chako ukitakacho na siyo kunipangia nini cha Kuandika hapa kwani huna Mamlaka hayo bado na hutokuwa nayo pia sawa?
Braza, umeandika 'tunawachukia.' tu' Ni kiambishi Cha wingi. Badilisha weka 'ninawachukia' usiwasemee wanaume, na wadada wenzako wa kihutu
 
Wewe usilinganishe ka nchi na nchi. Tanzania unalinganisha na Rwanda ? Hauko serious kabisa.hako nchi sawa tu na mkoa wa Geita leo unalinganisha na TZ yetu ? Umekosa kazi ya kufanya pole sana.
 
Hata Hapa kama akatokea kidume akayafanya kama alivofanya Paul Kagame basi basi hii nchi itakuwa Pepo watanzania hawajali raisi atakaa muhula gani lkn wanachojali ni maendeleo tu .Paul Kagame alikijua anachotaka ndio maana leo Rwanda inapaa katika anga za kimataifa na kuipata itachukua 100 yrs kwa Tz .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…